kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
Najitahidi kwa kadri ya uwezo wangu ili niweze kusahahu yaliyopita, lakini Mungu ni mwema!
Yeah I believe one day nitapata someone with true loveYou NO longer believe in true love, yet you pray to the Lord akuletee someone special with true love!
Duh!
Hebu tupe kipimo chako cha kumpima mtu aliyekupenda usiseme tu wanatamani papukii yakohuu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?
mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .
Mawazo kama haya niyawatu wenye tatizo la kisaikolojia,mapenzi nikama bahari yagawe tu kwa uhuru