Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tushabahatishana ivoo. Hata ikishindwa kufanya kazi trust me tutakua hivi hivi. Ndo maana nakwambia huyu wa jana leo na kesho. Sema sasa huyu sio N kabisa kabisa. Mimi na N ni zaidi ya hivi ndo maana hatuwezi kudate wala kuachana
Mbona unamuhisi hivyo,, MI hata simuongelei huyo bana, MI Nasema huyo unaempenda utaleta mrejesho umekalia kumtaja tu Khaaaaa au kuna nini Labda mpaka unanikera sasa
 
We nae kwa kumtaja Huyo hata hahusiki Hapa wenzio tushagaywa kwanza unamvyotaja unaleta mengine
Huoni nimekuambia Utanitajia pm,
Sasa nani huyo shoo mwingine mnaemwangalia akizingua. Btw wako watatu humu sema mmoja ndo namzimia hatari.
 
Mbona unamuhisi hivyo,, MI hata simuongelei huyo bana, MI Nasema huyo unaempenda utaleta mrejesho umekalia kumtaja tu Khaaaaa au kuna nini Labda mpaka unanikera sasa
Nikajua yeye mama maana ndo kipenzi namba moja na namba mbili humu. Kama sio yeye sawa. Ila mwingine ntakwambia nikishamaliza nae
 
Kuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang

Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda

Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?

Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini

Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman

Wacha nilie tu hakuna namna
Wacha weee
 
My best Valentine's for the last three years ilikuwa na mdada niliekutana nae humu JF, kwenye thread kama hii. Kiutani tu nilisema im single for that day na yeye akasema yuko single tutumie hio siku pamoja. It was amazing, siku hio nilienda kumchukua kwao, maeneo yale mnaita ya ki-sure, Dar hii eneo hilo lipo top 3! Nimeibuka na ki-corolla geti kufunguliwa kumejaa ndinga za hatari hizo balaa! Mtoto wa watu wala hana makuu, kaingia hao tukaenda dinner. Aisee ilikuwa kama tumefahamiana miaka zaidi ya 20 iliopita kwasababu kumbe tulikaa mitaa fulani pamoja enzi hizo.
Huyu dada alinielewa sana sema ndio hivyo im sorry to admit niliharibu,na dada was too smart alikuwa anaweza kusoma mazingira. Allin all popote ulipo K you are amazing.
Mtafute muyamalize na msimu wenyewe ndo huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom