Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Wenye wapenzi hongereni mie niliye chitiwa sina hamu and I no longer believe in true love loh I know one day I will get someone who truly love me kwa moyo. Lord bring me someone special with true love and caring
Utapenda tena mama. Nakumbuka nilivyoachana na mwanaume wa kwanza kabisa kumpenda it took me two years kupenda tena. Huyu wa pili sasa sijui ntachukua muda gani kupenda tena japo najua nitapata mtu nimpende tena ila lini ndo mtihani.
 
Yani kupenda labda ichukue mda na akili itulie tulie bila hvo wana kuja ila ndo siwapendi yani
 
Mie hata sijielewi
Sielewi kama niliye naye nampenda au nipo tu.

Kuna saa najihisi kumove on, but I love his dick .
Kuishi na mtu asiyekuamini ni mtihani sana.
 
Hiyo kawaida mama. Mi kweli sina ninaempenda kwa sasa hivi. Sina hata tone la mapenzi naishi tu mwenyewe basi namsubiria ntakaempenda. Na bahati mbaya zaidi huwa nikimuona mtu siku moja tu najua nimempenda au la.
 
Mi ndo sipendi wanaume naona wote wanafanana bora nitafte wakunitoa haja zake ila no upendo at all.
 
Mie hata sijielewi
Sielewi kama niliye naye nampenda au nipo tu.

Kuna saa najihisi kumove on, but I love his dick .
Kuishi na mtu asiyekuamini ni mtihani sana.
Mnoooo. Mwenyewe ex wangu nilikua nampendea jinsi tunaconnect when we make love. Ndo mwanaume ambae nakua nae huru on bed. Ila alikua haniamini kabisa na ni kwa sababu ndugu zake na marafiki zake walikua wanamwambia haniwezi na yeye alikua anajua mwanzoni hawezi kuwa na mimi sababu hawez kujua kama naweza mpenda mtu kama yeye. Sema mie mwenzie ndo nilikolea yeye sasa anajua ntamuacha at any time t. Basi bwana aende tu salama ntapata mwingine ntampenda zaidi yake
 
Na mahusiano yakishakuwa na mashaka mengi huwa mwisho unakua karibu!

Ila ni kwa nini wanaume wanaishi kwa mashaka sana!?

Leo nipo kwenye tafakuri nzito ya hatma ya mahusiano yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom