Ero Sensei
Member
- Feb 8, 2018
- 5
- 2
wengine we r just busy with our online projects, kuwafurahisha tu wale wanaopendana...huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?
mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .

