GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,882
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.
ITV Tanzania
'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.