BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,666
- 17,201
Genius🙏🙏Mkuu navuta picha utajisikiaje yakitokea matokeo mabaya dhidi ya Lissu!!
Isiweke moyo wako wote kwenye maamuzi yanayotegemea mtu mwingine.

Kwani kushinda na kushindwa ni aibu ?!. Kama ni matokeo kwanini isiwe kwa Maghufuli ?!Lissu atarudi ubelgiji na aibu kubwa. Kajichosha miezi 2 bila sababu
Muwe mnaachaga huo ujinga. Unashangaa mtu mzima, lakini anachokiandika utadhani ni darasa la kwanza. Rudia kusoma hizo bold haraf ufikiri kama umeandika kitu chenye senseMgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.
ITV Tanzania
'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.
hOVYOOOOOOOOOOOOOOOOOMgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.
ITV Tanzania
'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.
Mwaka gani, chini ya uongozi wa Rais gani, wazungu hawakuleta fedha hapa nchini? Si ndio mnawaita mabeberu?Je, wametupa kwa 'Kuwalazimisha' au ni kwa 'Hiari' yao tu wenyewe hasa kwa 'Kuridhishwa' na 'Utendaji' wa 'Kutukuka' wa Rais Dk. John Magufuli?
Ni Lissu mwaka huu.Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.
ITV Tanzania
'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.
Unajua CCM ina wanachama wangapi nchi hii??Kama ni kura, huyo Maghufuli yeye hakika ya ushindi wake unatoka wapi ?!.
Wanachama siyo kura . After all hao wanachama ni propaganda za kipuuziUnajua CCM ina wanachama wangapi nchi hii??
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.
ITV Tanzania
'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.
Sasa Kama haina kitu ingekua na wafuasi ??CCM ingekua haikubaliki tungeona watu hawaendi na hawajai kwenye mikutano yake!Kama ni hivyo uchaguzi wa nini ?!. Ccm haina kitu zaidi ya kukumbatiwa na vyombo vya dola na vya maamuzi.
Wanafunzi na wafanyakazi wanaolazimishwa kuhudhuria. Usisahau na show za bure za mizikiSasa Kama haina kitu ingekua na wafuasi ??CCM ingekua haikubaliki tungeona watu hawaendi na hawajai kwenye mikutano yake!
Mkuu usiwe unawajibu hawa maana hawajui kuwa kuna watu walikuwa wanaokotwa kwenye viroba, hawajui familia ya Azory inavyotaabika, hawajui watu wangapi wapo mahabusu kwa uonevu.vituo vya radio na TV vinamtangaza mtu mmoja pekee kama Mobutu,, nk Lakini haki huinua taifa,Una uzoefu na ushoga mpaka mnajuana !!. Nenda Hansard za bunge utakuta serikali humo ikitetea haki za mashoga (waziri wa mambo ya ndani) .
Na Waziri wa nje akiwathibitishia mabalozi haki za mashoga akimkana Makonda . Sasa hapo Lissu anahusikaJe ?!.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.
ITV Tanzania
'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.
Bado huamini kama Tanzania unayoishi na uliyozaliwa ni nchi huru?Si mnalazimisha kutawala eeh??? Sasa nakwambia Magufuli, Siro na Mabeyo hawaponi arrest warrant za ICC mwaka huu. Pemba usiku huu mmeshaua wawili. Wiki hii mtatuua wote Ila tumegoma kuwa makondoo wa Ccm. Imetosha
Sio huru kama unavyoaminishwa wewe huko lumumbaBado huamini kama Tanzania unayoishi na uliyozaliwa ni nchi huru?