Kwanini Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Tundu Lissu amekua akidhani ya kwamba eti kwakua alipigwa Risasi kwenye mwili wake, anafikiri labda eti watu wanaweza kumuhurumia na kumchagua kuwa mkuu wa Nchi.

Lakini ukweli ni kwamba... huyu jamaa hana ulinzi kwenye kinywa chake na pia hana ulinzi kwenye ndimi zake. Kiufupi ni lopolopo sana!

Hivi sijui mmenielewa nyie? Mmepimwa akili kweli? Au mmerogwa?

Tanzania inahitaji Kiongozi aliye nyooka... Kiongozi asiyekua na matashtiti... Kiongozi asiyekua na baya....na tena asiyekua na majivuno!

Sijui mmenielewa nyie watu?
 
Mnafiki basi tu mengine tuache alivyoo mie nachukia ng'ata puliza hujui tu walahi mwanzo nilimuadmire ila Kwa Sasa simuadmire ni mijitu Fulani kero tu kweli mnisamehe Hawa chadema wakiongoza nchi tutakuwa Burundi Kwa mara ya kwanza ni Bora jinamizi likujualo halitokumaliza ila litakumaliza .
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Tundu Lissu amekua akidhani ya kwamba eti kwakua alipigwa masasi kwenye mwili wake , anafikiri labda eti watu wanaweza kumuhurumia na kumchagua kuwa mkuu wa Nchi.

Lakini ukweli ni kwamba....huyu jamaa hana ulinzi kwenye kinywa chake na pia hana ulinzi kwenye ndimi zake. Kiufupi ni lopolopo sana!

Hivi sijui mmenielewa nyie? Mmepimwa akili kweli? Au mmerogwa?

Tanzania inahitaji Kiongozi aliye nyooka,...Kiongozi asiyekua na matashtiti....Kiongozi asiyekua na baya....na tena asiyekua na majivuno!

Sijui mmenielewa nyie watu? Mmepimwa akili kweli nyie?
SIRI IKO WAPI HAPO!!!
 
Sio kila kilevi ni kizuri kwa afya yako ya akili
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Tundu Lissu amekua akidhani ya kwamba eti kwakua alipigwa Risasi kwenye mwili wake, anafikiri labda eti watu wanaweza kumuhurumia na kumchagua kuwa mkuu wa Nchi.

Lakini ukweli ni kwamba... huyu jamaa hana ulinzi kwenye kinywa chake na pia hana ulinzi kwenye ndimi zake. Kiufupi ni lopolopo sana!

Hivi sijui mmenielewa nyie? Mmepimwa akili kweli? Au mmerogwa?

Tanzania inahitaji Kiongozi aliye nyooka... Kiongozi asiyekua na matashtiti... Kiongozi asiyekua na baya....na tena asiyekua na majivuno!

Sijui mmenielewa nyie watu?

Joined today at 11:45 am 🤣🤣

IMG_20230210_163520.jpg
 
Tuliza akili utanielewa
Tatizo si kuutaka Urais,tunataka mtu ambaye atapaza sauti ili hii katiba ya hovyo iondolewe hatuwezi tukawa na viongozi ambao tunawachagua halafu hutuwezi tena kuwashughulikia ikiwa wataenda kinyume na ahadi zao kwetu sisi wa piga kura

Katiba ya tanzania haina hata mamlaka ya kumshughulikia mwenyekiti wa nyumba kumi akiiba au akienda kinyume na waliomchagua sasa hy ni katiba au fambaa la kutupwa
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Tundu Lissu amekua akidhani ya kwamba eti kwakua alipigwa Risasi kwenye mwili wake, anafikiri labda eti watu wanaweza kumuhurumia na kumchagua kuwa mkuu wa Nchi.

Lakini ukweli ni kwamba... huyu jamaa hana ulinzi kwenye kinywa chake na pia hana ulinzi kwenye ndimi zake. Kiufupi ni lopolopo sana!

Hivi sijui mmenielewa nyie? Mmepimwa akili kweli? Au mmerogwa?

Tanzania inahitaji Kiongozi aliye nyooka... Kiongozi asiyekua na matashtiti... Kiongozi asiyekua na baya....na tena asiyekua na majivuno!

Sijui mmenielewa nyie watu?
Mwafaa!!!
 
Ndo unampigia promo.kiulaini
 
Back
Top Bottom