Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

Sijawahi kuona msukule wa makengeza mbowe akiwa na akili.

Chaggadema punguzeni ubinafsi, kwamba hamtaki kuzungumza na watu isipokuwa watu ndio wanapaswa kuunga mkono hatakati zenu.
Unataka Chadema wakazungumzie wapi na hao watu kama sio kwenye makongamano na mikutano.
 
Makamu Mkiti wa Chadema akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema...
Tundu Lisu mwongo!! Anasukumiza wenzake mbele wakati yeye alikimbia kwa woga! Anyamaze. Kama anataka na yeye angekuwa pale mwanza.
 
Tundu Lisu mwongo!! Anasukumiza wenzake mbele wakati yeye alikimbia kwa woga! Anyamaze. Kama anataka na yeye angekuwa pale mwanza.
Wakati wa vita vya Kagera kama ulikuwepo sikuwahi kumuona Nyerere kashika bunduki au akiendesha kifaru front.
 
Hahaha...hiko kikahaba ukikichalenji kinakubloku wafuasi M 1 kitawatoa wapi? kama CHADEMA yenyewe haina wafuasi hao Maria kawatoa wapi?
Huu ujinga ambao mtu ukimchalenji, au kukataa kile anaamini halafu anakupiga Tofali huwa wanautoa wapi?

Hawa ni Intruments kama sio Utensils. Hoja zipingwe kwa Hoja sio block.

Hizi ni dalili tosha za UDIKTETA , hata Shemasi ndio mtindo wake wa kujibu hoja nzito. Matusi au Tofali.

Kutokomaa kihoja au wana steess ya kuwa nje ya mfumo, ambao pia ni wa wapiga deal. Hivyo wana wivu, wanajua wahuni wenzao wanavyotafuta keki yetu ya Taifa
 
Huu ujinga ambao mtu ukimchalenji, au kukataa kile anaamini halafu anakupiga Tofali huwa wanautoa wapi?
Hawa ni Intruments kama sio Utensils. Hoja zipingwe kwa Hoja sio block...
Huyo Mario mjaluo, Kigogo, na na nyumbu wote huko Twitter ni MADIKTETA ya TWITTER
 
Huyo Mario mjaluo, Kigogo, na na nyumbu wote huko Twitter ni MADIKTETA ya TWITTER
Acha waje na SPACE na hizo international organs wanazojiaminisha, watashangaa.

Tuliupenda upinzani kuiondoa ccm madarakani lkn si hawa ma pippet.

Mbowe wamemharibu jamaa ni muungwana lkn amewasikiliza hawa waliondolewa kwenye mfumo.

Kama waling'olewa , then hawako fit ku survive.

Law of the jungle iliwashinda huko ndani.

Wengine hatupotezi hatuko ccm wala kwao. Yule aliye makini tuna side naye
 
Huu ujinga ambao mtu ukimchalenji, au kukataa kile anaamini halafu anakupiga Tofali huwa wanautoa wapi? Hawa ni Intruments kama sio Utensils. Hoja zipingwe kwa Hoja sio block...
Ukionekana unatoa hoja za kitopolo unapigwa tofali, ukileta matusi unakula tofali ukileta ujinga kwenye serious issue unaonyeshwa mlango wa kutokea.
 
Tundu Lissu hawaelewi vizuri Watanzania au anajipa matumaini hewa. Kama watu hawajaingia mtaani kwa kuchukizwa na tozo kwenye miamala, leo waingie mtaani kisa viongozi wa Chadema wamekamatwa?
 
Ayatollah Zitto na chama chake cha act wasaliti wenyewe wanajiita ACT Wazalendo kimyaaaa! Busy wanatafuna pesa yao ndefu waliyokatiwa na wa kudemka.

hahahahahaha sio lazima kila mtu awaunge mkono....kila mtu mwisho wa siku ana mtazamo wake...ACT nao wana mtazamo wao sio lazima wafanane na CHADEMA.
 
Kuna nchi katika Afrika yenye katiba "bora" kuliko Afrika Kusini? Ubora wao wa katiba umewafikisha wapi? Last I checked, SA is one of the most dysfunctional states in the world. Kilichobaki cha maana pale SA ni kalegacy ka miundombinu ya mkaburu tu vinginevyo ile nchi inaelekea kibra.

Tanzania haihitaji katiba mpya kwa sasa. Tunachohitaji ni viongozi bora watakaotafsiri ideals zilizomo kwenye katiba tuliyonayo na kujenga nchi imara nyanja zote. Hao wanaolilia katiba mpya waulize je kwenye vyama vyao wana katiba bora?
 
Ukionekana unatoa hoja za kitopolo unapigwa tofali, ukileta matusi unakula tofali ukileta ujinga kwenye serious issue unaonyeshwa mlango wa kutokea.
Nini maana ya Haki za mtu Kikatiba. Ccm wanatumia mbinu za kipunguani hizo hizo.
Unataka Katiba mpya kwao ni upuuzi uliwe kichwa.

Kama na wewe ni miongoni mwa watu wa aina hiyo hakuna haja ya Katiba Mpya
 
Tundu Lissu hawaelewi vizuri Watanzania au anajipa matumaini hewa. Kama watu hawajaingia mtaani kwa kuchukizwa na tozo kwenye miamala, leo waingie mtaani kisa viongozi wa Chadema wamekamatwa?
Kutoingia barabarani sio kuwa tatizo halipo.
 
Nini maana ya Haki za mtu Kikatiba. Ccm wanatumia mbinu za kipunguani hizo hizo.
Unataka Katiba mpya kwao ni upuuzi uliwe kichwa.

Kama na wewe ni miongoni mwa watu wa aina hiyo hakuna haja ya Katiba Mpya
Kama unasubiri mimi hadi nifanye nini ndipo nawe utake katiba kifupi hujitambui na hujui umuhimu wa katiba.
 
Back
Top Bottom