Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,035
2,000
Ukoo wa kambale. Kama Mbowe mwenyewe mmeshindwa kumwambia asijimilikishe chama mna guts gani za kudai eti katiba si mali ya Rais? Kwa taarifa yako katika nchi yetu Rais anamiliki hadi ardhi ulipojenga kibanda chako. Hutaki hamia Rwanda.
Hata mwendazake alikuwa anasema ardhi yote ya Tanzania ilikuwa mali yake na kibanda nilipojenga alikuwa anakimiliki, 😁😁😁😁😁
 

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,128
2,000
Hata mwendazake alikuwa anasema ardhi yote ya Tanzania ilikuwa mali yake na kibanda nilipojenga alikuwa anakimiliki, 😁😁😁😁😁
Yeah that is the power of the President kwa nchi yetu. Mnataka Rais awe weak ili mumfanye nini?
 

Pongo Pongo

JF-Expert Member
Jan 15, 2021
372
500
Ndio shida ya elimu za nchi hii,huyu utakuta ni graduate wa chuo kikuu, million sita iko wapi sasa hapo? Mnajidhalilisha bure tu,pumbav.
Wewe ni fuala sana unajua hata mjadala ulivyoanza?
Acha undava peleka mavi kuleee
 

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,831
2,000
Kwani yeye ndio kaenda kuzuia hao cdm kwenye kongamano? Si ametoa amri tu, kama kweli ana uwezo huo kwanini asiwaagize hilo kundi la askari kwenda kumkamata aliyejiunganishia?
Kwani hajakamatwa? Mara ya mwisho nimesikia kuhusu hilo ni kwamba Makalla alienda kule na aliamuru watu wakamatwe
 

Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,535
2,000
Madai ya katiba mpya sio suala la mama kucheka na watu. Mama alitakiwa akamate waliojiunganishia bomba la mafuta ili kuonyesha uwezo wake maana hao ni wahalifu, sio kupambana na watu wanaodai katiba mpya kwa amani.
Huwezi amini mpaka leo kuna watu wanaona hakuna umuhimu wa katiba mpya, na wengi wao ni wale wenye maslahi na mfumo uliopo kwa sasa. Kwa namna yaliyotokea na mambo yatavokuja huko mbele tusipopata katiba mpya sijui itakuaje.. imagine Mwigulu kagombea uraisi kapata na kwa katiba hii.. tutalima kwa meno

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,035
2,000
Hakuwa weak na kufa kwake si mwisho wa yale aliyokuwa akiyaamini na kuyasimamia. Mnataka mama ajilegeze ili mumfanye nini?
Hata akifuata njia ya mwendazake who cares tutasahau kama tulivyomsahau mtangulizi wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom