Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

Mama anakila sabab ya kuongoza kama jpm nchi hii inahitaji kuongoza kwa ungangali ukichekea watu ambao wanajuwa wanapopatia hela utashindwa kuongoza nchi! Jpm alikataa ujinga na tabasam za kubembelezana siasa 2020 ikawa hvo tena ikafanyika uchaguzi mkuu!
 
Kwani hajakamatwa? Mara ya mwisho nimesikia kuhusu hilo ni kwamba Makalla alienda kule na aliamuru watu wakamatwe

Akamwate wapi boss, IGP alijifanya ataleta ripoti, ametokomea kama sio yeye. Ukitaka kujua hakuna hatua yoyote kuchukuliwa hata habari zake hujui zimeishia wapi. Lakini jeshi la polisi linatumia mamilioni ya wavuja jasho kuzuia jambo la halali, tena mkutano wa ndani, huku wanawaogopa wahalifu.

Kuna hiyo ripoti ya soko la kariakoo kuungua waziri mkuu alisema atatoa ripoti ndani ya siku 7, baada ya kuunda kamati ya uchunguzi. Matokeo yake hela imeliwa na hiyo kamati, na hakuna ripoti yoyote. Lakini mama wa kambo mnamsifia kwa matumizi mabaya ya vyombo vya dola, na fedha za wananchi dhidi ya madai halali ya katiba mpya.
 
Mama anakila sabab ya kuongoza kama jpm nchi hii inahitaji kuongoza kwa ungangali ukichekea watu ambao wanajuwa wanapopatia hela utashindwa kuongoza nchi! Jpm alikataa ujinga na tabasam za kubembelezana siasa 2020 ikawa hvo tena ikafanyika uchaguzi mkuu!
Ungangari wa mama wa kambo unatakiwa uonekane kwa kuwakamata waliojiunganishia bomba la mafuta, sio kuzuia mjadala halali wa katiba mpya. Magu hakuwa ngangari bali mlevi wa madaraka, na ndio maana amekaa muda mfupi sana kwenye game.
 
Akamwate wapi boss, IGP alijifanya ataleta ripoti, ametokomea kama sio yeye. Ukitaka kujua hakuna hatua yoyote kuchukuliwa hata habari zake hujui zimeishia wapi. Lakini jeshi la polisi linatumia mamilioni ya wavuja jasho kuzuia jambo la halali, tena mkutano wa ndani, huku wanawaogopa wahalifu.

Kuna hiyo ripoti ya soko la kariakoo kuungua waziri mkuu alisema atatoa ripoti ndani ya siku 7, baada ya kuunda kamati ya uchunguzi. Matokeo yake hela imeliwa na hiyo kamati, na hakuna ripoti yoyote. Lakini mama wa kambo mnamsifia kwa matumizi mabaya ya vyombo vya dola, na fedha za wananchi dhidi ya madai halali ya katiba mpya.
Huoni kwamba ni wakati muafaka kwa CDM sasa kubadili aina yao ya siasa na kujaribu aina nyingine? Hii ya kutunishiana misuli na piga nikupige wameitumia kwa miaka zaidi ya 15 sasa, kuna kipindi ilianza kuzaa matunda, lakini kwa sasa naona kama inashuka umaarufu. And the problem hii approach yao inawafanya waonekane wakorofi sababu wanaishia kupambana na mamlaka/polisi huku CCM wakijiweka pembeni kama hawahusiki vile.
 
Mama anakila sabab ya kuongoza kama jpm nchi hii inahitaji kuongoza kwa ungangali ukichekea watu ambao wanajuwa wanapopatia hela utashindwa kuongoza nchi! Jpm alikataa ujinga na tabasam za kubembelezana siasa 2020 ikawa hvo tena ikafanyika uchaguzi mkuu!
Ubabe hausaidii kitu ndio maana Mungu hakupenda amalize kipindi chake.
 
Hata mwendazake alikuwa anasema ardhi yote ya Tanzania ilikuwa mali yake na kibanda nilipojenga alikuwa anakimiliki, 😁😁😁😁😁
Hata kaka yake Mbowe, Prof Baregu wameyafuna pesa za Chaggadema huku wakiona chama ni chao kwa kuwafurusha kina Zitto, Said Arfi na kuwaua kina Chacha Wangwe. Sasa hivi wako wapi ?
 
Huoni kwamba ni wakati muafaka kwa CDM sasa kubadili aina yao ya siasa na kujaribu aina nyingine? Hii ya kutunishiana misuli na piga nikupige wameitumia kwa miaka zaidi ya 15 sasa, kuna kipindi ilianza kuzaa matunda, lakini kwa sasa naona kama inashuka umaarufu. And the problem hii approach yao inawafanya waonekane wakorofi sababu wanaishia kupambana na mamlaka/polisi huku CCM wakijiweka pembeni kama hawahusiki vile.
Hakuna nchi iliyofanikiwa kwa kubembelezana na watawala SA, US, German to name a few, mapambano ya haki huzaa amani baadae.
 
Uliowataja hawakuwa na kibri cha madaraka hadi kusema Tanzania na ardhi yake mali yao kama mwendazake alivyokuwa anajiona.
 
Sidhani kama matatizo ya TZ yanahitaji umwagaji wa damu kuyatatua, matatizo yetu ya kawaida sana, yanahitaji busara tu za viongozi na wananchi kuyaondoa. Kuna nchi zina majanga mkuu
 
Hawakuwa na kibri cha madaraka, kwahiyo walitumia mbege kuwafukuza kina Zitto, Kafulila, na wengine siyo ?
 
Akamwate wapi boss, IGP alijifanya ataleta ripoti, ametokomea kama sio yeye. Ukitaka kujua hakuna hatua yoyote kuchukuliwa hata habari zake hujui zimeishia wapi. Lakini jeshi la polisi linatumia mamilioni ya wavuja jasho kuzuia jambo la halali, tena mkutano wa ndani, huku wanawaogopa wahalifu.

Kuna hiyo ripoti ya soko la kariakoo kuungua waziri mkuu alisema atatoa ripoti ndani ya siku 7, baada ya kuunda kamati ya uchunguzi. Matokeo yake hela imeliwa na hiyo kamati, na hakuna ripoti yoyote. Lakini mama wa kambo mnamsifia kwa matumizi mabaya ya vyombo vya dola, na fedha za wananchi dhidi ya madai halali ya katiba mpya.
Anaacha kufuatilia ripoti ya BOT yupo bize anapambana na Chadema anadhani ndio anajenga uchumi atakuja stukia 2025 hii hapa.
 
Sidhani kama matatizo ya TZ yanahitaji umwagaji wa damu kuyatatua, matatizo yetu ya kawaida sana, yanahitaji busara tu za viongozi na wananchi kuyaondoa. Kuna nchi zina majanga mkuu
Uko sahihi Tanzania inajitaji viongozi wenye busara.
 
Huoni kwamba ni wakati muafaka kwa CDM sasa kubadili aina yao ya siasa na kujaribu aina nyingine? Hii ya kutunishiana misuli na piga nikupige wameitumia kwa miaka zaidi ya 15 sasa, kuna kipindi ilianza kuzaa matunda, lakini kwa sasa naona kama inashuka umaarufu. And the problem hii approach yao inawafanya waonekane wakorofi sababu wanaishia kupambana na mamlaka/polisi huku CCM wakijiweka pembeni kama hawahusiki vile.
Tuchukulie uko sahihi kwamba cdm wanatumia njia isiyowapendeza ccm. ACT wamekubali kufanya siasa inayotakiwa na ccm, baada ya kufanyiwa unyama na ukatili wote. Mbona hata juzi uchaguzi wa konde wamefanyiwa uhuni kama kawaida? Unafahamu hata jana wamegoma kujumuika na Mwinyi kwenye sherehe ya Iddy huko Pemba, kutokana na machungu ya huo uhuni? Hapo walipo ndoa ya ACT na CCM itavunjika muda wowote. Unapotoa mapendekezo yako, weka hisia pembeni angalia uhalisia zaidi.
 
Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema,

“Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza, Chadema haitawasubiri hadi uoga wao uwaishe, Chadema itaongoza mapambano”.

Akaongeza kusema, suala la katiba ni la kila mtu kama mtu au vyama vingine vinaona katiba siyo muhimu kwao Chadema haitavilazimisha atakayeona umuhimu na aje, vyama vyenye mtazamo sawa na CCM vinaweza kuungana na CCM kupinga Katiba Mpya baadaye wananchi watakuja kulinganisha ni upande upi wenye hoja.
Katiba mpya Ni muhimu Sana.
 
Msimamo upi wa kuolewa na maccm? Wa kukusanya ushahidi tosha kuhusu watu waliotiwa vilema kuumizwa au kuuawa na kuupeleka katika jumuiya mbali mbali za Kimataifa duniani ikuwemo UN na kabla hawajaanza hata kupitia ushahidi huo kukubali kuolewa Kwa kupewa Wizara mbili ba kuwatelekeza wafuasi wao? Huo siyo msimamo wewe huo ni USALITI tia akili kichwani.
hahahahahaha sio lazima kila mtu awaunge mkono....kila mtu mwisho wa siku ana mtazamo wake...ACT nao wana mtazamo wao sio lazima wafanane na CHADEMA.
 
Hata akifuata njia ya mwendazake who cares tutasahau kama tulivyomsahau mtangulizi wake.
Who cares kuhusu kusahau au kukumbuka mtu? What we care ni ideals, ni principles, ni falsafa zenye tija. Hakuna mwenye time na mtu binafsi sisi tunataka mambo yatakayonufaisha vizazi na vizazi. Na hayo ndiyo mtangulizi wa mama alitumia miaka mitano kuyakita kwenye mioyo yetu na ndiyo hayo mama analazimika kuyatekeleza. Bado hujajibu swali langu, unataka mama afuate kila mnachokitaka nyie lengo lenu ni nini hasa?
 
Ukisikia kuna watu akili zao ni misukule ndio kama hawa wanaojitajia numbers. 6000???
 
hahahahahaha sio lazima kila mtu awaunge mkono....kila mtu mwisho wa siku ana mtazamo wake...ACT nao wana mtazamo wao sio lazima wafanane na CHADEMA.
ACT wana ndoa yao huwezi kuwaingilia.
 
Msimamo upi wa kuolewa na maccm? Wa kukusanya ushahidi tosha kuhusu watu waliotiwa vilema kuumizwa au kuuawa na kuupeleka katika jumuiya mbali mbali za Kimataifa duniani ikuwemo UN na kabla hawajaanza hata kupitia ushahidi huo kukubali kuolewa Kwa kupewa Wizara mbili ba kuwatelekeza wafuasi wao? Huo siyo msimamo wewe huo ni USALITI tia akili kichwani.

Kama huo ndio usaliti basi kumbe hakuna tofauti kati yao na CDM.... CDM ina wanachama na wafuasi wengi wameumizwa, kutekwa, kupotea na wengine kufa wakikipigania chama , vipi kuna hatua gani mmechukua kutafuta haki zao zaidi ya baadhi yenu kuunga juhudi mkono na kuelekea CCM na wengine mnawaita Covid 19 wako bungeni na mmeshindwa kuchukua hatua zozote kitaifa na kimataifa....mmelalamika TL kapigwa risasi nyio ambao sio wasaliti mmechukua hatua gani mpaka sasa? mnalalamika mmeporwa uchaguzi baadala ya kuingia barabarani mkaandamana kwenye keyboard na mgombea wenu mmeshindwa kumlinda kakimbia nchi anaishi uhamisho.....Maalima Seif amepata misukosuko kuliko mwanasiasa yeyote hapa TZ lakini hakuwahi kuishi uhamishoni...... Usaliti ni pamoja na kushindwa kukilinda na kukisimamia unachokiamini + uoga....
 
Who cares kuhusu kusahau au kukumbuka mtu? What we care ni ideals, ni principles, ni falsafa zenye tija. Hakuna mwenye time na mtu binafsi sisi tunataka mambo yatakayonufaisha vizazi na vizazi. Na hayo ndiyo mtangulizi wa mama alitumia miaka mitano kuyakita kwenye mioyo yetu na ndiyo hayo mama analazimika kuyatekeleza. Bado hujajibu swali langu, unataka mama afuate kila mnachokitaka nyie lengo lenu ni nini hasa?
Nimesema akitaka amfuate mwendazake who cares.
 
Back
Top Bottom