Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Anawajua wapenda uhuru,haki ,democrasia na maendeleo ya kweli.
 
Wakubwa hatutukani... sasa ukikuwa ongea namimi nikupe fact...

Aliwasumbua sana wazungu machimboni... wazungu wakauliza can we buy him or eliminate him? Akafika bei.

Magu anakamata containers yeye anakasirika ana mtukana

Rahisi amefanya maamuzi ya kijinga sana....tutashtakiwa Miga... shtyupid.
Scare tactic...

Sikutukani boss am too old
Wewe huna unalolifahamu na wala haupo katika nafasi ya kufahamu mambo ya maana, ni moja ya wajinga tu katika Taifa hili
 
Wakubwa hatutukani... sasa ukikuwa ongea namimi nikupe fact...

Aliwasumbua sana wazungu machimboni... wazungu wakauliza can we buy him or eliminate him? Akafika bei.

Magu anakamata containers yeye anakasirika ana mtukana

Rahisi amefanya maamuzi ya kijinga sana....tutashtakiwa Miga... shtyupid.
Scare tactic...

Sikutukani boss am too old
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Mjinga si tusi, ni kutojua. Ukishajua lakini bado unajitoa akili tunaita upumbavu. Akasema tena upumbavu nao ni kipaji. Sasa ninavyoona pamoja umri wako una upumbavu mwingi
 
Nimemsema Yesu wa chadema kweli mimi mpumbavu hujakosea

Ni suala la imani.. dogma
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Mjinga si tusi, ni kutojua. Ukishajua lakini bado unajitoa akili tunaita upumbavu. Akasema tena upumbavu nao ni kipaji. Sasa ninavyoona pamoja umri wako una upumbavu mwingi
 
Kikwazo ungesema Zitto... Lissu hajawahi kuwa kikwazo... hakuwa mlipua scandals....

Lissu alikuwa kwenye payroll ya wazungu kama alivyo sasa...

Najua una allergy na ukweli
Magu bwana. Aliona Tundu lissu ni threat kwenye mioango yake ya ufisadi na wizi. Kiko waoi sasa TL anakula bata yeye sasa hivi anaoza.
 
Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Umemtowa wapi tena huyu mkuu?
 
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Ni mzalendo wa kweli,si yule aliyejiita "mzarendo".
 
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Kama unaweza kusema zezeta ni mtu smart, hapo mimi umeniacha njia panda!
Lisu huyu huyu anayesema mlinzi wa Magufuli alikufa kwa Corona wakati mlinzi yuko hai wewe ndiyo unamuona ni mtu smart?
Mkuu, za kuambiwa changanya na zako tafadhali
 
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Labda smart kwa pale wodi ya mirembe,mzalendo gani aanayekimbia nchi yake na kuishi ugenini?
 
Back
Top Bottom