Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

Ni Mwanasheria bora kuwahi kutokea katika nchi yetu ukilinganisha na wanasheria wote na hana unafiki.
Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
 
Mkuu sema yule mchungaji akiyetabir kuwa ccm 2021 mtazika alinitisha kweli na mkazika kweli,
Nasubiria utabiri wake pia kuwa kuna nafasi kubwa ya kimataifa atapatiwa mpinzani.

Muda utaongea.
Mchungaji gan tena????
 
mimi nilikuwa wa kwanza kuhoji jambo hili humu jf , kuna uzi wake kabisa , lakini hoja yangu ni ushawishi wa Lissu maana nimeona akimpigia debe Hosea
Hosea alipingwa sana na CCM , nilipouliza sababu. Nikaambiwa ana kisasi cha kuondolewa nafasi yake PCCB na hajawahi kuwa mtiifu kwa chama. Kumbe nyuma yake kuna LISSU ndo nikashangaa zaidi.
 
Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Nasema Lisu ana karama ya pekee. Ni zawadi toka kwa Mungu, CHADEMA hiii tunu waitunze vema! Huyu ni Albert Einstein of our time in Tanzania and even the world, it is a matter of time! by the way, hivi Tundu Lisu ana akauunti JF?
 
Ukitoa TLS..Tundu Lisu amepoteza ushawishi kwa adilimia kubwa kwa sasa.
 
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Katika watu wa hovyo kutokea hapa Tanzania ni huyo jamaa.
 
Katika watu wa hovyo kutokea hapa Tanzania ni huyo jamaa.
Muongeze na Mwendazake alijiibia mahela kwa mahela uku hospitali hazina dawa ,ajira anagawa kama za Mama ake et upate ajira lazima uwe na kadi ya Ccm.Yule jamaaa mungu aliona mbali sana kumchukua saizi nchi ina hewa nzuri.
 
Back
Top Bottom