Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Uko sahihi
 
Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Mkuu jibu ni mbaikiwa, mungu husemwa nami juu ya huyu kiumbe wake yapo Mambo mpaka nda huu mh lissu yeye binfsi bado hajuhi kwamba yeye ni nani katika ulimwengu huu, that man is a man of God, tatizo ,tatizo mie Sina karama ya kuomba Sana may be labda sio mchungaji, ila wenye karama za kuomba mh lissu ni tinu ya taifa Hili , naishia hapa
 
Ni mtu mzalendo kwa mabeberu naalisacrifie maisha yake kwa ajili ya kutetea mabeberu
 
Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?

Mkuu na wewe unafikiri nini? Kumchagua Dr. Hosea ni sahihi?
 
mimi nilikuwa wa kwanza kuhoji jambo hili humu jf , kuna uzi wake kabisa , lakini hoja yangu ni ushawishi wa Lissu maana nimeona akimpigia debe Hosea
Lawyers wanajua vizuri wanachotaka. Kazi kwao mawakili wasomi
 
Mkuu jibu ni mbaikiwa, mungu husemwa nami juu ya huyu kiumbe wake yapo Mambo mpaka nda huu mh lissu yeye binfsi bado hajuhi kwamba yeye ni nani katika ulimwengu huu, that man is a man of God, tatizo ,tatizo mie Sina karama ya kuomba Sana may be labda sio mchungaji, ila wenye karama za kuomba mh lissu ni tinu ya taifa Hili , naishia hapa
Amina. Mungu anajua nia ktk moyo wako thabiti. Barikiwa na Bwana
 
Hasa pale alipotutisha na kushtakiwa Miga alionesha uzarendoz
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
 
Hata sisi wana ccm Asilia tunamuelewa sana Tl yuko smart na alisacrife maisha yake kwa vitendo ili alete ukombozi hapa Tz.
 
Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Nothing but his intelligence, sincerity, and transparency. He is visionary.
 
Hasa pale alipotutisha na kushtakiwa Miga alionesha uzarendoz
System ina watu kila sehemu, ndivyo unavyofanya kazi. Kwani tumeshtakiwa sehemu ngapi? South na Canada tumeshtakiwa. Ndege zetu haziruki nje kwa sababu ya Madeni. Possibility ya kushtakiwa ilikuwepo na yeye alitimiza wajibu wake kuonya na kushauri. Kaka tulikuwa tuko sasa hizi yale ma trillioji tumelipwa? Au tuliisuia kuhadiwa kuahudiwa zile bilioni na mwisho wa siku hata hizo hawakautoa na makontena ya mchanga wakaruhusiwa kusafirisha.
 
Back to Miga hoax...

Alikuwa analinda maslahi yake..

Tunafahamu zaidi

Back
Top Bottom