Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,752
- 218,339
Huyu sio TISS Kachero mbobezi?Dr Edward Hosea
CCM si Mama wa Mtu, Nape naye alisema ccm ni yake lakini akaishia kuonyeshwa bastola!HOSEA si ndo CCM hao???
Nyerere aliliona hilo, ingawa yeye ndiye founder š¤£CCM si Mama wa Mtu
Achana na Tundu Lissu a superhuman.Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .
Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Baada ya Nyerere mzalendo wa kweli mwingine ni TL. Asikudanganye mtu.Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Deep heart presidentRais wa Watanzania
Hiyo haina kitu bora hata Rais wa UDOSO anaweza itisha maandamano ya boom pale UDOM makao makuu hapo Dodoma ikawa gumzo..Hiyo TLS yenyewe ina impact gani kwa jamii?
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Hosea kuwa Rais wa TLS ni kama Sumaye kuwa mwenyekiti CHADEMA ....sumu haijaribiwi kwa kuilambaš¤£Huyu sio TISS Kachero mbobezi?
Mkuu sema yule mchungaji akiyetabir kuwa ccm 2021 mtazika alinitisha kweli na mkazika kweli,Kwaiyo Hosea nae alipendekezwa na Lisu,Hosea huyuhuyu?
Basi mnasafari ndefu sana na Lisu wenu!