Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
 
Acha uongo Mkuu wewe sio CCM
 
Kwaiyo Hosea nae alipendekezwa na Lisu,Hosea huyuhuyu?
Basi mnasafari ndefu sana na Lisu wenu!
Mkuu sema yule mchungaji akiyetabir kuwa ccm 2021 mtazika alinitisha kweli na mkazika kweli,
Nasubiria utabiri wake pia kuwa kuna nafasi kubwa ya kimataifa atapatiwa mpinzani.

Muda utaongea.
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom