Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu ni mpuuzi saana! Kiongozi na msomi huwezi kuongea kama Malaya wa Tandale au Manzese Uwanja wa Fisi.
Kuna watu wanajua vitu vingi sana lakini hawaropoki kama huyu chizi. Huyu chizi Tundu Lissu hapimi maneno yake kwenye public domain.
This idiot is the disgrace for Tanzanians civilization!
Umesikiliza au una ropoka tu?
 
"the dark guy that you see behind him all the time" moja kwa moja Apo mtu alieongelewa kila mtu kamuelewa kabisa sas ubishi wa nini kufikia conclusion kuwa Lissu ni mropokaji??

Mbona kama unajichanganya hapa? Au mimi ndiyo sijakuelewa? Tunahoji huyo “dark guy” ni yupi kati ya hawa hapa?
a4c7762e-a28e-4013-b834-861e773c6eb8.jpg
 
Kwa sababu hakumtaja kwa jina basi ni bora ukafunga hilo shithole lako. Kila siku post zako ni za chuki na watu wa upinzani, unakera
 
Lissu has to rethink nini hasa anahitaji katika Tanzania. Yes ana bitter experience with Magufuli but now anatumika vibaya


Zitto and Mbowe are the smartest political figures kwa sasa they know how to act kutokana na wakati.
Zitto na Mbowe walipigwa risasi ngapi?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu ameshafanya conclusion halafu Chini anauliza swali haha hiki kizazi cha zinaa na mchiriku kina shida sana!

Kuna vitu hawa vilaza walipaswa kuwaachia wenye akili wao wabakie kwenye petty issues bas!
Haka kajamaa Ni tabu tupu

Mwendazake kawachanganya Sana akili hii kind ya brainwash aliowafanyia mwendazake Ni konki kweli kweli

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwavile umesema kaongea mengi lakini hilo la kifo amekosea basi ni wazi kuwa yaliyobaki alipatia isipokuwa hilo.
Waswahili tunasema ameongea ukweli mtupu isipokuwa ulimi uliteleza kidogo.
 
Unajua mkuu wabongo wengi comprehension zao ni below margins!

Hebu fikiria huyo kilaza anajumuisha kwanza kisha anakuja uliza swali chini kutaka ujumuisho!

Anamhukumu mwenzie kwa chuki huku akimtuhumu huyo huyo kuwa ana chuki!

Shida ni kwamba hawa pakashume hawana akili za kuanzisha mada kisha wakaweza ficha upuuzi na hisia zao.

Mfano huku chini ameonesha wazi wazi kuwa na chuki na alimwenzishia uzi halafu anataka kujifanya yupo neutral!!

Hawa ndio wanawafanya waafrika wenzao waonekane ni Nyani!
Kweli kabisa nimeona watu wanatumia chuki kuchukia chuki
 
Hakuna raha duniani kama kushuhudia kifo cha adui yako that's all.

Kwa vyovyote mtakavyojifariji yule malaika wa chuki na giza aliyezikwa kichawi huku mkimuita Mungu alishindwa iokoa nafsi yake akafia mbali...

Yes kila mtu atakufa lakini kuna vifo vya wengine hushangaza na kuleta furaha sana!
Kuna vifo vikitokea ukaonekana unahuzunika watu wanashangaa
 
Back
Top Bottom