Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,105
- 32,926
Hata siku moja sijawahi kuwa😎Wewe ni umbwakoko
Hata siku moja sijawahi kuwa😎Wewe ni umbwakoko
Huyu Mwamba hata akifa kimwili atabaki Anaishi kiroho kwenye mind za Watanzania kwa miaka mingine 1000 mbeleWana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
(7,029) Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu | JamiiForums Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu