AiseeKuendelea kumshikilia Tundu Lissu kunazidisha dhuluma na kuathiri zaidi hadhi ya Tanzania, ndani na kimataifa.
Matukio ya Oktoba 29 yaliashiria mojawapo ya sura mbaya zaidi katika historia ya taifa. Kutoweka kwa nguvu, mmomonyoko wa nafasi za kiraia, na kuzorota kwa uhuru wa kimsingi kumeharibu sana sifa ya Tanzania. Ukweli usemwe- ukweli huu umevuta hisia za kimataifa na kuharibu taswira ya nchi ambayo hapo awali ilichukuliwa kama taifa la amani.
Sifa na amani ya Tanzania haitarejeshwa kwa ukimya au ukandamizaji. Watarejeshwa kupitia ukweli, uwajibikaji, na haki.View attachment 3547870
Man .mwambaWana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
(7,029) Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu | JamiiForums Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu
Mtesi hata akiishi miaka mingi haishi kujihukumu kwa aliowatesa - tuishi duniani kama wapitaji tu.