#bahariaNEWS- Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Februari 11,2026, ambapo mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi baada ya kusikiliza hoja za kisheria za pqnde zote...
Lisu ni kiboko aisee anapendwa na Watanzania kweli kweli kama anavyosema yeye..
Mtu yupo ndani harafu watu wamejaa hivyo kwenye kesi yake si balaa hilo.
Good News.
Mlinzi wa Mhe Tundu Lissu Ameachiwa muda huu hapa Central Police Mbeya alikokuwa akishikiliwa. Ikumbukwe alipelekwa Mkoa wa Songwe na usiku wa leo alirudishwa Mbeya.
Hiki ndo kizimba cha mashaidi wa kificho pamoja na Mahakama kuhairisha kesi jana ili kirekebishwe ila mpaka muda huu naona kipo vile vile hakuna kilichobadilishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.