Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,563
- 863,244
- Thread starter
- #421
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 75
Mhe. Lissu : Je unafahamu siku chache kabla sijachaguliwa kuwa Rais wa TLS nilikamatwa Dodoma na kusafirishwa kuja Dar es salaam siku nne na nilipotoka nikaenda Arusha kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS?
George: Sifahamu hilo
Mhe. Lissu : Unajua nilipotangaza ndege ya Bombadier ilipokamatwa na walinikamata walisema wanaenda kunipima mkojo ili wanisingizie madawa?
George:Hilo sifahamu.
Mhe. Lissu: Katika kipindi cha MAGUFULI nilikamatwa mara nane na kushitakiwa mara 6 hapo Kisutu?
George: Sifahamu ila nashangaa kwanini ni wewe tu?
Mhe. Lissu: hujui Mbowe alishtakiwa na nini? Hawa akina Heche hujui kesi walizowahi kuwa nazo?
George: Aah! Nimekumbuka, nafahamu basi.
Mhe. Lissu : Tar. 11/08/2024 unafahamu kuwa nilikamatwa jijini Mbeya nikiwa nimeenda Mbeya kusheherekea siku ya Vijana?
George: Nakumbuka mliletwa hadi Central na tukawapeleka majumbani.
Mhe. Lissu: acha kiherehere sijakuuliza hayo ya nyumbani wewe George.
Mhe. Lissu: Unafahamu nilikamatwa na kupelekwa Vwawa na kesho yake nililetwa kwenye kituo cha Polisi Central Dar?
George: Mimi niliona umekuja Central Dar es salaam.
Mhe. Lissu : Na unafahamu nilivyofika Central hamkunishitaki kwa lolote mliniambia nirudi nyumbani tu?
George: Hiyo sahihi.
Mhe. Lissu : Mwaka jana umesema nilikamatwa Magomeni?
George:Ndio nimesema hivyo.
Mhe. Lissu : Wewe ulikuwa Depeuty ZCO wakati nakamatwa hapo Magomeni?
George: Ndio nilikuwa na cheo hicho.
Mhe. Lissu : Nikisema mimi sikuwahi kukamatwa na Polisi magomeni?
George: Sijui ulikamatiwa magomeni.
Mhe. Lissu: Nikikwambia sijawahi kupelekwa Oysterbay toka nizaliwe utasema nasema uongo?
George: Ndio utakuwa unasema uongo.
Mhe. Lissu : Sasa mimi nakwambia nilikamatwa nyumbani Tegeta na kupelekwa Mbweni kituo cha polisi ukiwa chini ya kiapo unadhani unafaa kuwa Askari wa Jeshi la Polisi?
George: Ndio ninafaa hivyo hivyo.
Mhe. Lissu: Shahidi nikikwambia nimekwambia tar. 09/04/2025 nimekamatwa ili tu niwe Gerezani mpaka uchaguzi upite na ili huyu UTU NA KAZI asiwe na Mpinzani wa maana?
George: Sio kweli
Mhe. Lissu : Je baada ya mimi kukamatwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima walitangaza Chadema hairuhusiwi kuweka mgombea?
George: Hilo sikumbuki.
Mhe. Lissu : Na ni kweli au si kweli ndani ya mwezi huo huo mmoja niliposhitakiwa kwa uhaini msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi amesimamisha Ruzuku kwa Chama cha Chadema ni kweli au sio kweli?
George: Sikumbuki
Mhe. Lissu : Msajili wa Vyama vya siasa, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, IGP na DCI, DPP hawa wote ni wateule wa Rais?
George: Hawa wote ni kweli.
Mhe. Lissu : Ndani ya mwezi huo huo mmoja Jaji wa Mahakama hii akaamuru shughuli za siasa zote za Chadema zisimame?
George: Ni Kweli.
Mhe. Lissu : Na huyo Jaji alikuwa mjumbe wa tume Zanzibar na ni mteule wa Rais?
George: Ni kweli.
Mhe. Lissu : Sasa tuambie huyu Mwenyekiti wa Chadema amefunguliwa mashitaka ya uhaini na wateule wa Rais?
George: Sio kweli.
Mhe. Jaji: Waheshimiwa majaji nimemaliza na shahidi huyu.
Jaji anasema kwasababu ya muda nahairisha kesi hadi kesho saa tatu asubuhi ambapo tutaendelea na Re Examination halafu baada ya hapo
hakikisheni Jamhuri mnakuja na shahidi mwingine ili tutakapomaliza Re Examination tuendelee na usikilizwaji wa shauri hili.
So Wapendwa tukutane kesho
Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali