Anaanza Mh. Lissu kusema anasema nawashukuru Majaji kwa kunipatia Mawakili.
Pamoja na kwamba mimi sikumuomba na simfahamu wakili Neema Saruni alikuja mwenyewe kuniona kwenye gereza la Ukonga alijitambulisha na kuniambia yeye ndio amepewa hilo jukumu.
Nilifurahi kwa yeye kufanya hivyo. Walifanya vizuri sana.
Sasa Mh. Jaji alivyokuja na kunieleza nilimjulisha kuwa kwenye kesi kubwa kama hii ambayo ni kosa kubwa kuliko yote kwa mujibu wa ibara ya 28.
Kwenye kosa linaloshitakiwa kwa kusema maneno.
Kosa la aina hii nitajitetea Mwenyewe.
Kwasababu inabidi tuambiwe na nchi hii ukisema maneno yasiyowapendeza watu fulani fulani unaweza kuhukumiwa kifo.
Mimi niliyesema hayo maneno nitajitetea na niwasikilize hao wanaosema nimefanya uhaini kuwa nimetenda makosa hayo.
Naomba pia mfahamu kabla mahakama hii haijaniteulia mawakili toka tukiwa kisutu sijawahi kuwa na upungufu wa mawakili zaidi ya 50 na baadhi yao wapo hapa leo.
Niliwaambia ambayo nimesema haya kwenye kesi kama hii sitataka mtu anizungumzie nilisema hivyo toka Kisutu na tulielewana.
Nafahamu uzito wa kesi kama hii Waheshimiwa Majaji, anayeshtakiwa ana haki ya kuwakilishwa na mawakili hata kama hana uwezo mahakama itamtafutia Wakili wa kumsaidia.
Mimi uwezo ninao na suala la kwamba sina uwezo hilo halipo. Mimi uwezo ninao.
Pili watu wanaostahili kuwekewa mawakili ni wale ambao wanakabiliwa na makosa makubwa na hawawezi kujitetea wenyewe.
Mimi nina uwezo wa kujitetea mwenyewe. Mimi ni Wakili wa Mahakama hii kwa miaka 23 hadi leo kama Wakili.
Nimefanya kazi ya uanasheria huu ni mwaka wangu wa 31, There is no question whatsoever to defend my self.
Najitetea mwenyewe kwasababu this is ultimate test, huu ndio mtihani mkubwa kwa mfumo wetu wa kisheria.
On this one, kwa heshima zote I will take full responsibility for myself.
Nitaweza to the best of my ability.
This is about my life. I will defend myself to the fullest.
Naomba niseme jambo kuhusu hili jopo la Mawakili toka Kisutu naomba katika kesi hii waendelee kuwepo wanisaidie kwenye research maana gerezani hakuna mtandao hakuna library kule.
Waendelee kuwepo ili wanisaidie nijiteteee kwa ukamilifu.
Na kama hilo litawapendeza nitafurahi kama watatambulishwa na pia hata huyu Wakili Neema Saruni atakubali na yeye awe sehemu ya jopo hilo la Mawakili wataonisaidia kufanya research.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You, Atropine, LiFe 2-point-0 and 11 others
[IMG alt="ndammu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/429/429694.jpg?1684050384[/IMG]
JF-Expert Member
In shaa Allah kwa uwezo wake Muumba utashinda na kila anaekunyanyasa kisa utofauti wa kisiasa Mungu ampige laana kuanzia Kiongozi wa nchi,policcm,mawakili wa serikali na majaji na wananchi wote wa ccm wanaokusingia kisa utofauti wa mawazo.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Atropine, Evelyn Salt, Gurugurumee and 3 others
[IMG alt="Msingida"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/32/32765.jpg?1655734611[/IMG]
JF-Expert Member
Dadeki!
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Kipunguny and min -me
[IMG alt="To yeye"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/367/367662.jpg?1756888683[/IMG]
JF-Expert Member
Mwenyezi Mungu akusaidie Baba 🙏
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Smart911, Evelyn Salt, Gurugurumee and 2 others
[IMG alt="naa"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/140/140810.jpg?1752591247[/IMG]
JF-Expert Member
Nilidhani leo wanaweza kumuachia lakini leo nimeona wameamua haswaaa kumnyonga 😭
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
zitto junior
[IMG alt="Izy_Name"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/590/590419.jpg?1731567572[/IMG]
JF-Expert Member
Ni noma
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Madingi ya Mbinguni"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/474/474726.jpg?1672443067[/IMG]
JF-Expert Member
Lisu mwamba sana mwamba kweli kweli mwamba pekee.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
zitto junior and Kipunguny
[IMG alt="Madingi ya Mbinguni"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/474/474726.jpg?1672443067[/IMG]
JF-Expert Member
Wanalijaribu taifa waone watanzania watafanya nini?
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Kipunguny
[IMG alt="zitto junior"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/176/176149.jpg?1734056858[/IMG]
JF-Expert Member
View attachment 3467888
On this one, kwa heshima zote I will take full responsibility for myself.
Nitaweza to the best of my ability.
This is about my life. I will defend myself to the fullest.
Click to expand...