Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Rais Samia pamoja na viongozi wengine wakifuatilia mwenendo wa kesi ya "Uhaini" inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Pamoja na mambo mengine Lissu ametoa shule ya sheria kwa Mawakili wa Jamhuri kwa kuwatajia vifungu vinavyoonesha namna walivyokiuka haki zake za msingi na kutaka shauri hilo lifutwe, akipinga kuahirishwa. Watu wote wanaofuatilia kesi hii wanaendelea kupata shule kutoka kwa Wakili Msomi Tundu Lissu.!
IMG-20250701-WA0045.jpg
 
Hakimu kasema ni kweli hoja za Mh LISSU zinaeleweka lakini hana kifungu Cha kuamua dhidi ya malalamiko ya mtuhumiwa,mahakama haiwezi kumuamrisha DPP afute kesi au apeleke kesi kwenye mahakama kuu,hivyo hakimu akaipa jamhuri siku 14 Tena ndipo watakapokutana yaani tarehe 15.07.2025.
IMG_20250702_044224_562.jpg
IMG_20250702_044224_562.jpg
 
Hakimu kasema ni kweli hoja za Mh LISSU zinaeleweka lakini hana kifungu Cha kuamua dhidi ya malalamiko ya mtuhumiwa,mahakama haiwezi kumuamrisha DPP afute kesi au apeleke kesi kwenye mahakama kuu,hivyo hakimu akaipa jamhuri siku 14 Tena ndipo watakapokutana yaani tarehe 15.07.2025.View attachment 3390799View attachment 3390799
Hakimu jana ilitakiwa alipe tuition fee 😂
Maana na yeye alikuwa anapewa darasa la bure kabisa na alikuwa ana enjoy sana kumpa muda zaidi Mh. Mughwai Tundu Antiphas Lissu kutoa shule ya sheria. ✌️✌️✌️

Shule ya jana mahakama ya kisutu hata Law School haipo kabisa
 
Shule ya jana mahakama ya kisutu hata Law School haipo kabisa📌🔨✌🏿
 
Back
Top Bottom