Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Uliwahi kulaani kitendo cha Lissu kushambuliwa?

Kama uliona ni sahihi au ulichagua kukaa kimya, sielwei ni kwanini "MEGA FOOL" ndio kwako iwe issue kubwa kuliko ubinadamu na uhai wa mtu.
Wazungu majina yetu wanawapa shida sana kutamka.
 
Tundu Lissu ni binadamu ana MOYO na nyama pia yaliyomkuta ni mazito lakini hatuwahi kumwona akitoa hata chozi kwa yaliyomkuta bali ni tabasamu lake tu.

Serikali yetu haijawahi kuonyesha ya kuwa ipo pamoja na Lissu na Familia yake....imeonesha Mara zote kuwa upande wa watesi wa Lissu.

Unapomsema vibaya Lissu eti si mzalendo Mara anaikashfu nchi na viongozi jaribu kuvaa uhusika wa Lissu na yaliyomkuta je Mimi na wewe tungekuwa na hali gani?? Familia yake ilikuwa kwenye hali gani?? Je uzalendo ni nini?? Mwenzetu apigwe risasi 16 mwilini mwake serikali isiseme chochote wala kumsaidia kwa lolote halafu yeye aipongeze??

Wanaomwona Lissu ni msaliti ni wanufaika wa serikali ya awamu hii lakini Lissu ni mhanga....

Kuna watu wamezunguka dunia kwenda kutafuta watoto hata hatukuhoji kama wanavibari vya kwenda huko....wala hatukuhoji kama madaktari wetu wameshindwa ila kwa Lissu wanauliza vibari.....

Msitufanye wajinga Lissu aongee yaliyomsibu kwa kuwa mamlaka zinazohusika hazijawahi kutueleza yaliyomkuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lisu kuna ujumbe alitaka kuufikisha wakati Steven alikuwa na kibano chake kama kawaida yake,lakini Lissu kachomoa na kafikisha ujumbe wake wanasiasa na wanahabari ni kama Tom and Jerry
Interview nimeangalia mpka mwisho.... Mtangazaji anauliza hiki lissu anajibu hiki... Total lose for MP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko vizuri aisee maana mwandishi anamuonesha yuko wrong kisha yeye ndio anahangaika ku prove yuko right. Na mwandishi akielewa haitikii anahama kwenye swali lingine
 
STEPHEN SUCKER: Are you ready to face Mega - fool in the coming 2020 general election?

TUNDU LISSU: If my fellow members of the Party say so through party procedures, Defenetely ..... I 'm more than enough!!

Wooh, great question, great answer !!
 
I fancied the interview although the one Mr. Sucker could not accord Mr. Lissu a sufficient space to let him express himself as he would, frequently, intervene with questions midway even when Mr. Lissu was still elucidating his point.

Save for that, we've really enjoyed the interview as, truly speaking, Mr. Lissu has stole the limelight in that interview as he has managed to enlighten the world to know about the excesses of this regime vis a vis the much spoken about violations of the fundamental human rights in the country.

We hope that based on that interview the civilised world will not opt to sit on the fence to watch these flagrant abuses of civic rights continue to be inflicted on the innocent people and that at last the potential perpetrators of these atrocities will be brought to justice so as to account for their misdeeds, God willing.
Ndio maana imeitwa hardtalk, uzuri aliweza kutumia maneno machache kujibu maswali na kwa mifano kabla mwendesha kipindi ku intervene na maswali zaidi. Kama mtu ana IQ ndogo hawezi.

Mwisho alimwambia tutaendelea kuangalia kitakachotokea, nadhani wenye akili watakuwa wameelewa.
 
Vijana wa UVCCM hawajui kuwa Mwandishi wa BBC anajiweka upande wa pili wa debate ( kama vile opposer wa motion) ili kumpa nafasi yule anayemhoji aliye upande wa kussuport Motion ateme nyongo kadri awezavyo! na hivyo kukitendea haki kipindi cha THE HARDTALK
 
Naona kabisa magufuli anajiambia kwenye kampeni atapiga Push ups kwa sababu ndicho atakacho mshindia lissu.
 
Back
Top Bottom