sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,696
Msingi wa hoja ulitokana na yeye kusema watu wanahongwa ili wajiunge ccm..kaa chini ufuatilie..jamaa akamtolea mfano wa masha..ye akakimbilia kibiti..Kajibu vizuri kabisa. Anasema watu wanauawa halafu mtu anasema ni sawa tu kwa kuwa upande wa pili kuna kupambana na ufisadi. Akauliza ni sawa tu watu wauawe kwa kigezo cha kupambana na ufisadi? Masha kama anaona kuna mambo mazuri yamefanywa lakini hajali haki ya watanzania kuishi, basi hayuko sahihi!!
Sent using Jamii Forums mobile app