Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Kajihakikishia kuwa serikali inawajibu wa kumpa ulinzi masaa 24 dhidi ya kifo. Sina hakika kama jamaa anaelewa kuwa mwenye mamlka na uhai wa mtu ni Mungu pamoja na kuwa kaponea tundu la sindano.

Nimemuuliza serikali ibaweza kumlinda na kifo cha ajali? UK walishindwa kwa Diana, Tanzania kwa Sokoine nk.
Siyo dhidi ya kifo bali dhidi ya kushambuliwa! be specific
 
Hivi huyu yaghamba anao mpango wa kurudi nyumbani. Wengi hatuna sehemu nyingine ya kuita nyumbani zaidi ya Tanzania,arudi nyumbani au......
 
Huyo hajali na hana uchungu na nchi, once a traitor always a traitor.
Sasa anataka kuwa raisi kwenye nchi anayoipaka matope?!
Ataongozaje sasa si itakuwa koloni tena hivihivi tena kwa bei rahisi kabisa ya juisi na biskuti tu
 
Binafsi nimeangalia hard talk ya TL BBC news kidogo initoe machozi. Wengi walijua kama TL anainanga Tanzania ila hali imekuwa tofauti kiti kimekuwa kama kimesimikwa kwenye TANURU na kama bado ana mpango wa kwenda kwenye Tv za kimataifa nadhani arudi tu akaliombe radhi taifa. Naamini wengi hawajaiona hard talk ila naaminia itawashangaza wengi. Siyo siri Magufuli ni story nyingine kimataifa.Kwa assessment yangu binafsi kama TL hakuangukia pua basi atakua katengua kiuno, so sad. wanaobishi walete mrejesho wa maswali yote na majibu.
Nakubaliana na wewe kabisa Lissu kachemsha kaonekana ndio wale wale wapinzani wa Afrika ambao kwao hakuna jema na upinzani manake ubishi tu for the sake of it mpaka nao wakamate kiti cha uongozi. Upinzani usio na kanuni wala mwongozo. Lissu bado sana ndio yale tunasema na haya yanatokea Afrika sana mtu akisoma na kupata shahada hizo basi jamii anategemea awe kiongozi. Ndio ule usemi wa kwenye nyumba wa vipofu mwenye jicho moja ndio mfalme. Wengine wabaki kuwa Mawakili au Wahasibu au Wahandisi, nk. Tutapata viongozi tuendelee kuomba Mungu.
 
Back
Top Bottom