Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Msiwe wepesi wakusahau mwaka juzi makonda anapambana na ushoga na madawa ya kulevya aliruhusu lissu ???
Serikali inamkubali kuwa TL anajua akiongea tu serikali inaanza kukuhangaika!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The truth is..Lissu is being grilled here, he thinks he has a point, but he is just moving around the bush with no evidence, he tries to reject everything with no critical evidence..thats where I like the interviewer..give concrete evidence not just words like a parrot..🤗🤗🤗

Moja ya kosa ni kutoruhusu huyu mtu kupigania uhai wake kwa kutumia resources za nchi. Sasa hivi angekuwa anaulizwa kama walitaka ufe ni kwanini walikutibu? Sasa bunge letu halikumtibu kwa sababu za kiutaratibu. Angetibiwa hata hizo unazoziita Bla Bla za kasuku asingekuwa nazo.
 
Nime-note point moja muhimu sana katika interview yake ya Hardtalk ya BBC, Tundu Lissu amesema atarejea nchini iwapo Rais Magufuli atamhakikishia usalama wake kwa masaa 24, kwa kuwa wale waliotaka kumwua hawajakamatwa bado
 
Lissu kajichimbia shimo
Katoka kituko leo

Atalia na kujutaaaaaa
Yeye ni tumbo lake tu..

Eeeeeeh ajipige mabao kabisa maana uraisi hata wa kusafisha barabara hataupata
 
Kuhandle vyombo vya habari sio kuhandle nchi.
Hardtalk imemvua jamaa yenu nguo.
Clear like crystal, hafai kuwa kiongozi wa hii nchi, sababu kwanza ataenda kinyume na mila na desturi za nchi yetu kwa kuruhusu ushoga, pili ni mwongo, anatuhumuje serikali kutaka kumuua at the same time anaomba wamlinde

Sent using Jamii Forums mobile app

..wewe uko biased.

..pale area D ni makazi ya viongozi na kuna ulinzi wa polisi.

..siku ya tukio walinzi hawakuwepo. Sasa nani aliwaondoa?

..hivi ungekuwa wewe ni TL ungehisi nani anahusika na kukushambulia?

..Yule jamaa wa Hardtalk baada ya TL kujibu hivyo ulisikia akiuliza tena kuhusu ushahidi?

..sasa hivi tuna kiongozi ambaye anatugawa wa Tz. Kiongozi wa namna hiyo hatufai.

..kuhusu ushoga nadhani unalazimisha tu. Hakuna mtu ana muda wa kujadili mambo ya kipuuzi.
 
Naam,

Mwezi januari umekuwa mbaya kwa wasema hovyo. Alinza Zitto na Fatma Karume sasa ni Tundu Lissu.

Ushauri tu kwa ndugu Lissu unapoenda kwenye mahojiano mahsusi hususani kwenye media za kimataifa jiandae achana na propaganda zisizo na uthibitisho. Ni dhahiri, Lissu amezoea mahojiano ya upande mmoja kupitia VOA au DW ambapo mara nyingi watangazaji humuacha azungumze anayotaka.

Tundu Lissu ulipwaya kwenye mahojiano sasa umethibitisha ya kwamba umepona rudi bungeni badala ya kupiga porojo.

Tundu Lissu umeongea uongo kuhusu makusanyo ya kodi,utawala wa sheria na zaidi kuongopea dunia ya kwamba mauaji au vifo vya watu havijawahi kutokea Tanzania.Kwa taarifa yako hapo London wapo wapemba kibao waliojitweka 'ukimbizi' baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Umeongopa mengi hadi mtangazaji anamwambia ''allegetions being made are infamatory'' kamtuhumu kutumia blogs na social media. Ni kama amejifunua na kukiri kuwa ameamua kuwaunga mkono wawekezaji kwenye madini sababu 'hakuungwa mkono miaka ya 90''

Ameshindwa kuthibitisha madai ya wapinzani kununuliwa hadi mtangazaji kamuonya kwa kumwambia yeye (Tundu) kama mwanasheria hapaswi kueneza uzushi kwa mambo asiyokuwa na uthibitisho nayo.

Muandishi kaenda mbali kwa kumwambia ''mbona Masha alikuwa waziri wa Kikwete akahamia upinzani na sasa amerudi CCM huku akimuunga mkono Magufuli kabaki kutoa macho huku akishindwa kutoa uthibitisho wa kununuliwa wapinzani.

Alichosema ukweli ni idadi ya risasi alizopigwa mwilini ni 16 na sio 38 kama wafuasi wake wanavyosema, pia amekiri wazi kuwa kama akiwa rais ataweka sheria ya kuunga mkono ushoga. Pathetic!

Mwisho, Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kishoga kama ambavyo unatamani.
 
Naam,

Mwezi januari umekuwa mbaya kwa wasema hovyo. Alinza Zitto na Fatma Karume sasa ni Tundu Lissu.

Ushauri tu kwa ndugu Lissu unapoenda kwenye mahojiano mahsusi hususani kwenye media za kimataifa jiandae achana na propaganda zisizo na uthibitisho. Ni dhahiri, Lissu amezoea mahojiano ya upande mmoja kupitia VOA au DW ambapo mara nyingi watangazaji humuacha azungumze anayotaka.

Tundu Lissu ulipwaya kwenye mahojiano sasa umethibitisha ya kwamba umepona rudi bungeni badala ya kupiga porojo.

Mwisho, Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kishoga kama ambavyo unatamani.
Kwa vyovyote vile usingefurahia jinsi Jiwe anawekwa hadharani kama alivyofanya Lissu dakika chache zilizopita. Na bado mapambano bado yanaendelea, muda si mrefu tutaelewana tu.
 
The truth is..Lissu is being grilled here, he thinks he has a point, but he is just moving around the bush with no evidence, he tries to reject everything with no critical evidence..thats where I like the interviewer..give concrete evidence not just words like a parrot..[emoji847][emoji847][emoji847]

Kwa ambaye hata isikiliza hii interview ndio atapelekeshwa na hisia kuwa Lissu amefanya damage,ila ukweli uko wazi,hawa wazungu wanataarifa nzuri zaidi za kinachoendelea Tanzania na nchi inanyooka against uozo wa kila aina ambao umewashinda viongozi wengine wa Africa.
Then mwishoni Sakur akammaliza kabisa na suala la ushoga
 
"Interviewer" alikuwa akikimbizana na muda kuuliza maswali yake, na kumnyima "interviewee" muda wa kutosha kujibu.
Muuliza maswali alichukua muda mwingi kueleza upande wa serikali kuliko kuuliza maswali mafupi ili yajibiwe kiasi cha kutosha.

Jambo muhimu zaidi wanaloweza kuwasaidia waTanzania, (na sio wazungu peke yao, bali jumuia nzima ya kimataifa) watusaidie kuhakikisha kwamba chaguzi zetu zote zinazofuata zinakuwa huru na matokeo yake yawe ndio matakwa hasa ya wananchi wapiga kura wenyewe.

Watusaidie pawepo mazingira yatakayohakikisha matakwa hayo, ikiwa ni pamoja na uwepo wa 'Tume Huru ya Uchaguzi'.

Tanzania hatuhitaji msaada mwinge wowote kuliko hili la kutuwezesha kuchagua viongozi wetu tunaowataka bila ya mizengwe yoyote, toka serikalini au kwenye chama chochote.

Kuingia katika uchaguzi wowote wakati mazingira yaliyopo sasa hayajafanyiwa marekebisho ni kupoteza muda na raslimali, kwa sababu inajulikana dhahiri ni nani atakuwa mshindi.

Ni bora hata pasiwepo na uchaguzi kabisa, kwa sababu tunaweza hata kuepusha madhara, hata ya uwezekano wa kupoteza uhai wa baadhi ya wananchi wetu.

Tuiombe dunia itusaidie.
Nafasi kama hii anayopata Mh Tundu Lissu wakati akiwa huko, ingefaa pia hili alitangaze zaidi kupitia kwenye mahojiano kama haya yaliyofanyika hapa.

Jumuia ya kimataifa ikisikia kilio chetu hiki, Magufuli na CCM yake hawana uwezo wa kutukatalia ombi letu hili.
Ni aibu kwa mwanaume kulilia wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amejitahidi kwa levo za kibongo lakini nawaza hapa ingawa sio kitu kizuri ila mtanzania anaetaka uongozi kama urais kwa nchi kama Tanzania sio vizuri sana kujipeleka kwenye vipindi kama hivi make lazima kuna vitu utaulizwa na majibu yako wapinzani wako watayatumia kukupiga kwenye kampeni.. na kwa mtazamo wangu kwa aina ya uelewa walonayo wapigakura wetu hili jibu kuhusu ushoga litamcost pakubwa.
Ahahaaah...
Uelewa gani mkubwa waliokua nao wapiga kura wa Tanganyika..?
Elimu ya uraia kwa Watanganyika iko chini sana ndugu..!
 
Hat
Huyu kwa kujipendekeza kwa wazungu naona ataolewa huko sasa

Sina muda wa kuangalia msaliti wa taifa langu, mwambieni Tanzania haijashitakiwa huko MIGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mandela kuna wanafiki na wachumia tumbo walimuita msaliti. Baadae alipokuwa raisi walivyokuwa na akili za makalio wakawa wa kwanza kumsifia.
 
Back
Top Bottom