Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Hii video inatisha. Haya maneno ni mazito na washirika wa Tanzania, au nchi za magaribi zitamshukia Magufuli


Mahojiano kama haya ndiyo yanamfanya mfalme J aogope kusafiri nje ya nchi
 
Watetezi wa CCM wana vioja kama sio vituko utetezi wao ni wa kijinga jinga wengi ni vilaza mbumbumbu wakubwa, wamekariri kisingizio cha kishamba Ushoga mara usaliti mara mabeberu yaani watetezi wa CCM wamekariri ujinga ujinga toka kwa cyprian Musiba Le mutuz wakizani watanzania ni wajinga kiasi kwamba hawajui kuwa kama sio unyanyasaji unyama na Uonevu wa CCM leo hii Tundu Lisu asingekuwa kwenye interview huko Ulaya, chanzo cha ubaya ni kikundi cha Bashite ndiyo wa kubeba lawama zote hizo, kama wasingempiga Risasi Tundu Lisu leo hii kusingekuwa na mjadala huu kwenye mitandao, watanzania wanajua chanzo cha Tatizo ni viongozi wa CCM kukumbatia udikteta.
 
Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Huu ni utovu wa akili
Unapotaka chumvi iitwe sukari

Sisi sio mataahira ufanye mabaya mia tusifie mazuri matatu uliyofanya



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Sakur anamshangaa inakuwaje mtu uwe na chuki hivyo na nchi yako
 
Tundu Lissu kama mbunge wa Bunge la Jamhuri na mtanzania tena aliyebobea kwenye nyanja za sheria anashindwa kutumia hadhi yake hio na kubaki na heshima yake ambapo ukomo wa ubunge wake ni 2020.
Kitendo cha yeye kuongea na media za kimataifa siri na udhaifu wa demokrasia ya nchi yake ni kuwaalika maadui wa nchi nyingine watumie mianya hio kuturudisha hatua nyuma. Hii inaonyesha picha kuwa Lissu anatamani kuona Tanzania isiyo na amani. HUU NI USALITI WA NCHI.
Hamna cha maana ulicho andika, nikuulize tu zile cctv camera kwa nn ziliondolewa baada ya lissu kupigwa risasi,au kwa nn hapakua na walinzi siku ya tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu Jana Akiwa BBC amesema kwamba Alishambuliwa kwa jumla ya Risasi 54, yaani 16 ziliingia Mwilini na 38 zikimkosa.
.....
Sasa Mbona Taarifa ya Lissu inatofautiana na ile ya Chadema Waliyoitoa Mwanzo Kwamba Lisu alishambuliwa kwa jumla ya Risasi 38 kati ya hizo 17 zikiingia Mwilini na 21 zikimkosa?
....
Kwa hiyo Kwa Alichokisema Lisu Jana Ni Kwamba tayari zimeongezeka Risasi zingine 16.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa ufahamu wewe.,akili yako iko kwenye hesabu tu!!!!? Hata zingekuwa mia.....au unajua idadi ya ulizompiga? Zungumzia issue ya shambulizi la Lisu sio idadi ya risasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa mwandishi alivyomaliza kwa kusema Mr Tundu Lissu we'll keep watching that story. Kiuhalisia mwandishi ameona huyu jamaa anasimulia vitu ambavyo havipo. Sasa sijui kwa hao aliotaka wamsikie wataipokeaje hadithi yake. Yetu macho.
 
Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Mtu mchafu hachafuliwi
 
Back
Top Bottom