Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Jamani mnaongeza maneno, alichisema ni kuwa “those ate private matters and they should remain private”. Mna za kutulisha matango pori mapema hivi.

Hakuna jipya sasa mlitaka tinge uongo? Ameendelea kutetea anachokiamini.
Mkuu acha mwenzio aingize siku.

Hawa watu wanachokitaka ni roho ya Tundu Lissu, wameikosa wanahaha sana.

Sijawahi kudhani kama kuna waTanzania wana roho za kikatili namna hii.

Roho za namna hii tumezoea kuziona kwa WAHUTU
 
Jamani mnaongeza maneno, alichisema ni kuwa “those ate private matters and they should remain private”. Mnaanza kutulisha matango pori mapema hivi.

Hakuna jipya sasa mlitaka tinge uongo? Ameendelea kutetea anachokiamini.
Walikuwa wanataka abadilishe misimamo yake na anachokiamini.

Labda walikuwa wanatarajia angeunga mkono juhudi za jiwe right there kwenye kipindi.

Tehe tehe....
@MwanahabariHuru vipi bana??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yetu macho na masikio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

tuangalie, tusikilize ndio tujadili
Asante kwa video nimeiangalia yote... Huyu mzungu kafeli kwenye hard talk yake na hayuko neutral, na maswali yake yamebase kwenye takwimu zinazotolewa na serikali na organs zake.... Lissu anaongelea uhalisia wa Tanzania na Mtanzania, point kwa point ana msingi wa kile anachojibu lakini mzungu anauliza vile anavyovisikia bila kuhoji uhalali na uhalisia wake

Jr[emoji769]
 
The man himself Tundu Antipas Lissu in the HardTalk telling the world on what is going on in Tanzania. I liked the way Tundu Lissu was oozing confidence through out the interview. It seems Stephen Sackur and the rest of the world including Africa are out of touch with the bad stuff happening in Tanzania under the current regime.
 
Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Kwani wewe umepata hasara gani kwamfano.

Kumbe anachafulika? Nilifikiri viongizi wakuu wa malaika hawawezi chafuka, hawana doa wala mawaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeangalia hard talk ya TL BBC news kidogo initoe machozi. Wengi walijua kama TL anainanga Tanzania ila hali imekuwa tofauti kiti kimekuwa kama kimesimikwa kwenye TANURU na kama bado ana mpango wa kwenda kwenye Tv za kimataifa nadhani arudi tu akaliombe radhi taifa. Naamini wengi hawajaiona hard talk ila naaminia itawashangaza wengi. Siyo siri Magufuli ni story nyingine kimataifa.Kwa assessment yangu binafsi kama TL hakuangukia pua basi atakua katengua kiuno, so sad. wanaobishi walete mrejesho wa maswali yote na majibu.
Umesikia kilichoongelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kufanya ziara ndio ushindi wa urais?

Je tundu kuhutubia au kuhojiwa BBC...ndio kuna TIJA gani kwa mpiga kura wa nchi hii.?

Je kuna kick gani ya kisiasa kwa chama chenu?

Hata KAMA wazungu watamtuma lissu sisi tunampiga kwa ndebe ya kura.
Nchi hii kamwe hatutaiachia kwa wajasiliamali wa siasa mangimeza kama huyu mtoro wa bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumpiga risasi 30+ kulikuwa na tija gani kwa taifa???
 
Uraisi apate wapi nae huyo bana, wamemdanganya tu, kama sivyo waliomtuma wanapima upepo, sasa mtu mwenyewe anaongea kwenye hard talk kiingereza tena usiku mkubwa, waliokuwa macho ni vijana wake wa mitandaoni tu, mbaya zaidi kiingereza, yaani kiufupi ujumbe wake haujafika, umepotea teyari, labda kama wapiga kura wake ni wazungu!
 
Asante kwa video nimeiangalia yote... Huyu mzungu kafeli kwenye hard talk yake na hayuko neutral, na maswali yake yamebase kwenye takwimu zinazotolewa na serikali na organs zake.... Lissu anaongelea uhalisia wa Tanzania na Mtanzania, point kwa point ana msingi wa kile anachojibu lakini mzungu anauliza vile anavyovisikia bila kuhoji uhalali na uhalisia wake

Jr[emoji769]
Lakini ameelewa kuwa anaongea na mwanasheriia nguli, alikuwa too bias.
 
Lakini ameelewa kuwa anaongea na mwanasheriia nguli, alikuwa too bias.
Kwa utamaduni wa waingereza wanaishi kwenye sheria si rahsi kumkuta hala layman akifanya allegation bila evidence na ndo haamini kama TL ni mwanasheria nguli. Just mshaurini tunamoenda abadirishe style
 
Mzee wa miga anataka kuwapiga ela wazungu tu, chama chake hata ofisi hakina kimepanga kwenye frame! Huku atakuta mswaada wa siasa ushaisha ishakuwa sheria kabisa. Huhuhu. Itaweka hiyo hard talk kwenye flash tu na haitakuwa na ufanisi wowote
 
Back
Top Bottom