Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Hakika wewe ni bure kabisa au huelewi kiingereza.
That was hard talk, ambapo Mwandishi hafanyi mahojiano ya kuku favor Bali anakubana vilivyo ufunguke wewe binafsi na hakika Lissu kapati hadi mwandishi kakubali.
Msipotoshe wengi wasio jua lugha hiyo, ni mahojiano ambayo wewe binafsi unajua sio jiwe au wadaidizi (mawaziri) wengi hawawezi hata 20% ya kamanda Lissu alichofanya.
Kama ana jiaibisha mbona nyie ndio mmekomaa aache na kurudi? Sii mngekuwa mmekaa pembeni na kucheka tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile Hardtalk hasa, mwendesha kipindi anakuwa upande tofauti na wako na unatakiwa utumie mda mchache kujibu na kutoa mifano. Kama una IQ ndogo ile Hardtalk inakutoa KO
 
Hajasema ataruhusu ushoga, amesema ya chumbani waachie chumbani, ni privacy za watu. Unadhani haya hayafanyiki? Unajuaje kama baba yako hafanyi na mama? (samahani ni swali lenye ukakasi, ila nataka ujue privacy aliyokuwa anaisema Lisu); yanafanyika kwa usiri, waachie na usiri wao as long as hawayaleti hadharani!
Lilikuwa swali gumu sana ila jamaa kalijibu kiakili mnooo
 
Vijana wa UVCCM hawajui kuwa Mwandishi wa BBC anajiweka upande wa pili wa debate ( kama vile opposer wa motion) ili kumpa nafasi yule anayemhoji aliye upande wa kussuport Motion ateme nyongo kadri awezavyo! na hivyo kukitendea haki kipindi cha THE HARDTALK
Tena ikiwa hivyo inakuwa mbaya zaidi kwa sababu anamfanya aliye upande wa pili afunguke zaidi na zaidi
 
..dunia imejua kuhusu ufisadi wa Chato airport.

..watu wanaookotwa kwenye viroba. Mamia waliopotea Mkiru.

..mamia ya vijana waliokamatwa kwa makosa ya mtandao.

..sheria kandamizi ya vyama vya siasa iliyopelekwa bungeni.

..wengi hawakuelewa lengo la muongoza kipindi lilikuwa ni nini.
Mm nasubiri tu Lisu awe rais nikawaoe makamanda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais alitoa ujumbe kwenye twitter..ila ye umesikia alivyozungumza kwenye interview..alitaka rais aite vyombo vya habari amzungumzie yeye..kweli..
Spika alijitoa sana toka dodoma..mwisho wa siku akaambulia lawama..eti asimamishe bunge kweli..
Bado ikaonekana ye na serikali wamehusika..sasa mtu akikutuhumu unafanyeje..uendelee kujipendekeza? Take your time

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi alichokifanya twiter ni sawa kabisa na sahihi.
 
Moderators Hakuna mahali popote kwenye ile interview hilo neno lillitamka! Invisible Kwanini mnalikalia kimya jambo hili? Tundu Teacher wrote on the board,
36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b =0

He turned to Mulenga and said, "Solve the problem."
The Bemba boy picked the duster, cleaned the board and said,

"Problem solved!

Some of our problems require such solutions. Just dust it off and move on with life.

Never allow anyone to steal your happiness! is a proffesssional hawezi kuwa mjinga wala mwendesha Kipindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaweweseka sana nabado ilo ni pigo moja tu la bbc mmechanganyikiwa ivo, nawaambien laana ya Mungu juu ya Damu ya Lissu haitawaacha salama, labda nikukumbeshe urejee mahojiano ya rais wetu mtarajiwa Lissu,alisema doctor wake akimruhusu tu siku ya pili atakuwa dar esalaam
Nadhani kwakuwa mjadala umekuwa wa kingereza hata huelewi uchangie nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitetemeka hili swali atalijibu namna gani. Akivurunda amekwisha! Loh! Genius! That was the right answer! Hakumkwaza yeyote, si wazungu si watanzania, si waafrika. Yanayofanyika chumbani yaache chumbani as long as hayakatazwi na Katiba !
Nasubiri Lisu awe rais nije kukuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiomba utoe maoni awamu hii, hasa yale ya kukosea lazima utajuta tu, Lazima utaitwa, la sivyo kwa pigu utaenda!

Tumeona hii inayoitwa ziara ya Tundu Lissu huko ughaibuni, huku akihojiwa na vyombo vya habari vikubwa kama BBC swahili NK,
Kama kawaida ya Mhe Lissu yeye ni kufunguka yaliyoko moyoni mwake, Yani yeye maoni yaki anayatoa tu wazi wazi bila kusoma nyakati, kua awamu hii hicho kitu ni risk sana,

Kama siei G aliitwa vile, ww toa maoni yako yasiendane na sisi uone, Tungumbike leo ndio Siei G anaenda huko kwenye kiti cha moto kwa maoni yake, angekua amesifia nadhani angepelekewa na zawadi kabiss, au kungekua na cheo juu yake angepandishwa! ila kwasababu alikosoa yamemkuta ya kumkuta!

Mhe Lissu hiki sio kipindi kama kile cha Mzee wetu wa pwani, Watu walikua wako ni kutoa maoni yao, kuonya , kuponda na hata kuchamba, ila kwa sasa Mmh hali sio, ndio mana Hata jukwaa la siasa limetia adabu!

Kwanza kabisa, Mungu ashukuriwe kwa kua unaendelea vizuri, naamini maombi ya watanzania yalikusaidia zaidi kupigania uhai wako! Afya yako izidi kuimarika ili urudi uendelee na mapambano ya kuwaletea wananchi maendeleo na tanzania kwa ujumla!

Ila sana maoni unayoendelea nayo huko kuyatoa mengine tafadhali weka akiba, ili ukija uendelee kuwaletea wananchi wako maendeleo,

Kumbuka kipindi tu kabla hujawa na mkasa wa kushambuliwa ulikua na kesi zisizoisha kwa makosa ya lugha za uchochezi, yani hata hatujui kua zile bado zipo au zimefutwa, au zinakusubitu utue tu uendelee nazo!

Sasa hayo mahojiano huko chukua tahadhari na weka akiba ya maneno, mana yakizidi sitashangaa ukitua tu wanaita uko mikononi salama! mara uchochezi, mana maneno ya kuudhi, na mengine mengi,

Haitakua faida kwa wale wengi wanaokusubiria kwa hamu angalau kusikia sauti yako live na kukuona live, wakisikia upo ndani unapambana na kesi,

Mana hata hayo mahojiano utasikia ulifanya mkutano wa hadhara! ulifanya siasa( mana ulizungumzia swala la uraisi) pia utasikia umeanza siasa kabla ya mda wake!

Amini kuna mikono mingi inakusubiri kwa hamu, minine salama na mininge si salama, na pia kumbuka ulisema watesi wako bado hawajajulikana!

Naamini upo pia hapa ila ni hayo tu!
 
Sio kwa full magazine AK47
Magufuli ana roho mbaya mnoko hatari!
Lissu anajiabisha sana kifanya Siasa na kwenye maswala ya data. Hesabu hazidanganyi.. Mzungu anahoji akiwa na data mkononi afu mtu hana hapa data za mapato ya TRA anafuta kwanza swali afu anajibu la kichwani kwake. Nimemuona mweupe sana Leo. Amejitahidi tu kuonyesha nyongo na JPM lakini kwenye data na uongongo mwingi.. Hadi mzungu akaona anataka kutoka nje ya Mazda.
 
Moderators Hakuna mahali popote kwenye ile interview hilo neno lillitamka! Invisible Kwanini mnalikalia kimya jambo hili? Tundu Teacher wrote on the board,
36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b =0

He turned to Mulenga and said, "Solve the problem."
The Bemba boy picked the duster, cleaned the board and said,

"Problem solved!

Some of our problems require such solutions. Just dust it off and move on with life.

Never allow anyone to steal your happiness! is a proffesssional hawezi kuwa mjinga wala mwendesha Kipindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lawyers are trained to seek for reasonable doubts in defence of the accused. Tundu Lissu is basing his criminal accusations against the government on the balance of probabilities and the multitude of doubts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom