toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,566
- 3,234
swali zuri sana hilo ndugu😀😀Uliwahi kulaani kitendo cha Lissu kushambuliwa?
swali zuri sana hilo ndugu😀😀Uliwahi kulaani kitendo cha Lissu kushambuliwa?
weka ushahidi kama.kaongea tuone, kama.iliandikwa tuone.Nimezijisikia vibaya sana kwa kitendo cha kijinga kilichofanywa na mzungu na Tundu lisu kumuita Rais wetu MEGA FOOL na sio jina lake halisi ambalo ni MAGUFULI.
kwa wale mlioangalia HARDTALK kati ya lisu na Stephen na kuifuatilia kwa umakini mtakuwa mliligundua hilo.
Tena kibaya zaidi walifanya hivyo kuanzia matamshi mpaka maandishi kwa hiyo sio tukio la bahati mbaya bali ni makusudi kabisa.
Mimi nipende tu kuwaambia Rais wetu sio MEGA FOOL ni MAGUFULI achane udhalilisha wa ajabu kiasi hicho.
Msilalamike hata kid go ushenzi mliomfanyia hauna idadi ni mkubwa sana.Huyo hajali na hana uchungu na nchi, once a traitor always a traitor.
Sasa anataka kuwa raisi kwenye nchi anayoipaka matope?!
Ataongozaje sasa si itakuwa koloni tena hivihivi tena kwa bei rahisi kabisa ya juisi na biskuti tu
Kubaguana hakujaanzia kwa MAGUFULI ndugu yangu, Watanzania tuna tabia ya kumlaumu kila raisi aliyeko madarakani, matokeo yake NI kila raisi aliyeko madakarakani hufanya mambo yake akiamini akiondoka atalaumiwa ajaye.Chanzo cha ubaya Tanganyika ni viongozi wa CCM wa awamu ya tano chini ya Utawala wa mtukufu malaika toka na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite toka kolomije.
Kajibu vizuri kabisa. Anasema watu wanauawa halafu mtu anasema ni sawa tu kwa kuwa upande wa pili kuna kupambana na ufisadi. Akauliza ni sawa tu watu wauawe kwa kigezo cha kupambana na ufisadi? Masha kama anaona kuna mambo mazuri yamefanywa lakini hajali haki ya watanzania kuishi, basi hayuko sahihi!!Fatilia alipoulizwa kuhusu lawrence masha na alichokiongea yeye..
Mzungu hawezi kutamka magufuli..kwake ni rahisi zaidi kusema MEGA FOOL..Nimezijisikia vibaya sana kwa kitendo cha kijinga kilichofanywa na mzungu na Tundu lisu kumuita Rais wetu MEGA FOOL na sio jina lake halisi ambalo ni MAGUFULI.
kwa wale mlioangalia HARDTALK kati ya lisu na Stephen na kuifuatilia kwa umakini mtakuwa mliligundua hilo.
Tena kibaya zaidi walifanya hivyo kuanzia matamshi mpaka maandishi kwa hiyo sio tukio la bahati mbaya bali ni makusudi kabisa.
Mimi nipende tu kuwaambia Rais wetu sio MEGA FOOL ni MAGUFULI achane udhalilisha wa ajabu kiasi hicho.
Kama mlie mmiminia risasi hajafa mpaka leo hii,unashangaa nn dereva kutopigwa risasiDereva hajafa so inakuwa rahisi kuchunguza coz ye ndo shahid wa kwanza sasa dereva mwenyewe mmekataa asiulizwe kitu na hajulikani alipo so mnataka watu wawaze nini.
Yan risasi zote zile dereva haijampata hata moja???? Bado kuna ukakasi hapo.
Fatilia alipoulizwa kuhusu lawrence masha na alichokiongea yeye..
Lakini fuatilia kuhusu Magu kununua ndege na alichokijibu yeye..yaani unamtuhumu mtu kujenga uwanja..kisha unaambiwa kanunua ndege unasema sio kazi yake..wakati ye ndio kasimamia..
Sent using Jamii Forums mobile app