Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,038
- 63,186
Lissu ndio alisema watu wananuliwa ndugu..jamaa akaibuka na lawrence masha kama amejiunga jitihada kwa kuona kinachofanywa na magu kama alivyom quote..lissu akarukia hoja ya kibiti..nadhani hakutegemea kama jamaa najua hadi habari za kina masha kuwa walikuwa wapinzani wa magu kwenye kampeni..ndugu fuatilia vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika wapinzani Masha naye ni mpinzani?. Ni opportunist tu