As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,544
Alishazoea waandishi habari wetu hawa, kakutana na Magwiji wa uandishi,mzungu yuko vizuri, Lissu amejitutumua kujibu maswali ingawa mengi kajibu tangentially, emotionally, dataless.
Ivi pesa ya korosho wale wakulima mmesha walipa?tundulisu kua mzalendo kwa nchi yako ,usimchefue raisi wetu maendeleo aliotufanyia watanzania nimakubwa haijawah tokea tangia tupate uhuru ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa faida yake ama taifa? Acheni kukejeri jitihada za ukomboziChukua gari la matangazo uzunguke mjini!
amejaribu sana kukwepa hili swali lakini mwisho wa siku akanasa kwenye mtego.... na inaonekana bwana steve alishajiandaa kumtwanga hilo swali na apate jibu liveliveMtu anayewania Urais 2020 anashabikia USHOGA hapo tu amekosa KURA ZA WAISLAM WOTE NA WAKRITO WOTE, Labda apate kura za watt wake aisee.
Utamsikia kwa hoja za ukombozi, ili akukomboe wewe usiejua mageuzi yanahitaji ujasiriAtasema nini tena! Tutamskia
Naona umekirupuka toka usingizin,sitakujibuuNadhani kwakuwa mjadala umekuwa wa kingereza hata huelewi uchangie nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
So what is the point here??Lawyers are trained to seek for reasonable doubts in defence of the accused. Tundu Lissu is basing his criminal accusations against the government on the balance of probabilities and the multitude of doubts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala sio kujiweza kiuchumi, chombo kama bunge ndiyo uwanja wa siasa mtu unaweza ukaleta chachu kupitia muhimili huo, hoja zako za kupigania maendeleo uonekana pitia bunge sio kupitia kipato cha mtuYule anajiweza sio hadi awe mbunge ndo mumuogope.....mfukuzeni....lkn moto ni ule ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuu!!!!...tutabomoa hiyo jela na kwenda kumtoa
Kuna watu humu ni mara yao ya kwanza kusikiliza hiki kipindi ......... tena watakuwa wameambulia 50 % or less ya kilichokuwa kinazungumzwa kutokana na lugha iliyotumika. Wengi wao kwa sasa wanategemea mijadala au michango inayoendelea JF .....!!Vijana wa UVCCM hawajui kuwa Mwandishi wa BBC anajiweka upande wa pili wa debate ( kama vile opposer wa motion) ili kumpa nafasi yule anayemhoji aliye upande wa kussuport Motion ateme nyongo kadri awezavyo! na hivyo kukitendea haki kipindi cha THE HARDTALK
Kama mahojiano haya ya Stephen Sucker's na Tundu Lissu katika Hardtalk yangekua yameendeshwa Kwa kiswahili, haki ya nani taifa hili navyowajua Vijana Wa Bavicha Wangesema serikali imetoa rushwa kuihonga B.B.Cmzungu yuko vizuri, Lissu amejitutumua kujibu maswali ingawa mengi kajibu tangentially, emotionally, dataless.
Aisee makamanda watasema Stephen Sackur analipwa buku saba na Lumumba, ha ha ha.Lissu alibanwa mbavu na mwendesha kipindi 🤣