Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Naona basha wako hakufikishi.CCM ya nyerere unayoitaka lisu angekua ahela saiz.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Naona basha wako hakufikishi.CCM ya nyerere unayoitaka lisu angekua ahela saiz.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Alishangaaje? Au hukumuelewa?Lisu anaambiwa aonyeshe ushahidi anabaki akishangaa...
He was very articulate! Very confident with a amstery of English! Perfect!The man himself Tundu Antipas Lissu in the HardTalk telling the world on what is going on in Tanzania. I liked the way Tundu Lissu was oozing confidence through out the interview. It seems Stephen Sakur and the rest of the world including Africa are out of touch with the bad stuff happening in Tanzania under the current regime.
kamanda ndio hivyo tena kaahidi mkimpa urais atawatengenezea sheria muufanye ushoga bila bugudha.
Ndio mnachowaza hicho tu.Kama una mattz ya nguvu za kiume si useme tu?Naona basha wako hakufikishi.
labda tumsafirishie bashite lemutuz jerry bidhaa adimu za kupumuliwa kisogoni awagawe kwa wazunguTundu Lissu anza kuwavulia nguo hao mabwana zako huko huko wakuhemee kisogoni. Kama unaweza kukubali kuhalalisha ushoga ili upate support ya kugombea urais na kwa akili yako ukasahau kama si mila na desturi za hao unaodhani wanaweza kukupigia kura basi ujue wewe si kiongozi. Kiongozi ni yule anaekumbatia matakwa ya watu wake walio wengi no matter what. Binafsi nimechukia mno na hii interview yako na hawa mabwana zako. Tunafahamu siasa za kimataifa na tunafahamu nini kinatafutwa na hao wazungu. Hatutakupa kura ndugu yangu. Hufai hata ubalozi wa nyumba kumi kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Time will tell, for your information in due time the regime will change and proper investigation of the very incidence will take place.Halitotokea hilo milele yote
Hizo ni propaganda zenu tu! Alichosema TAML ni kuwa ataendelea kutetea haki ya privacy iliyo kwa mujibu wa katiba! So what is pathetic!Kamanda kizuri kahitimisha hitaji lenu kuwa akiwa rais atawapa sheria inayowapa haki ya kufanya ushoga.Pathetic!
Haya utajua mwenyewe walioumbuka. Haya mahojiano yameweka wazi kuwa hawa waropokaji watoaji tuhuma za uongo kwa serikali nchini Tanzania wanastahili kuwekewa sheria ngumu kuwadhibiti.Wameumbuka!!
kamanda acha povu, hiyo ni ahadi ya rais wako Tundu Lissu.Kama unatamani shoga si uwe kama mdogo wako yaishe !!! Ushoga ushoga ushoga. [emoji107]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha Lissu amebanwa kisawasawa hadi anajuta kuomba interviewa hahahahahah oooooh nitaruhusu ushoga nikiwa Rais
Kwa propaganda za kijinga hizo hamtafanikiwa na iko siku hata shetani atawaona wajinga tu nyie!kamanda ndio hivyo tena kaahidi mkimpa urais atawatengenezea sheria muufanye ushoga bila bugudha.
Wanateseka sanaHakuna walicho pata zaidi nafsi zao kujaa aibu kubwa.
Asante kwa video nimeiangalia yote... Huyu mzungu kafeli kwenye hard talk yake na hayuko neutral, na maswali yake yamebase kwenye takwimu zinazotolewa na serikali na organs zake.... Lissu anaongelea uhalisia wa Tanzania na Mtanzania, point kwa point ana msingi wa kile anachojibu lakini mzungu anauliza vile anavyovisikia bila kuhoji uhalali na uhalisia wake
Hizi hasira zitafanya mtoto akose maziwa na kupata utapiamlo.Naam,
Mwezi januari umekuwa mbaya kwa wasema hovyo. Alinza Zitto na Fatma Karume sasa ni Tundu Lissu.
Ushauri tu kwa ndugu Lissu unapoenda kwenye mahojiano mahsusi hususani kwenye media za kimataifa jiandae achana na propaganda zisizo na uthibitisho. Ni dhahiri, Lissu amezoea mahojiano ya upande mmoja kupitia VOA au DW ambapo mara nyingi watangazaji humuacha azungumze anayotaka.
Tundu Lissu ulipwaya kwenye mahojiano sasa umethibitisha ya kwamba umepona rudi bungeni badala ya kupiga porojo.
Tundu Lissu umeongea uongo kuhusu makusanyo ya kodi,utawala wa sheria na zaidi kuongopea dunia ya kwamba mauaji au vifo vya watu havijawahi kutokea Tanzania.Kwa taarifa yako hapo London wapo wapemba kibao waliojitweka 'ukimbizi' baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.
Umeongopa mengi hadi mtangazaji anamwambia ''allegetions being made are infamatory'' kamtuhumu kutumia blogs na social media. Ni kama amejifunua na kukiri kuwa ameamua kuwaunga mkono wawekezaji kwenye madini sababu 'hakuungwa mkono miaka ya 90''
Ameshindwa kuthibitisha madai ya wapinzani kununuliwa hadi mtangazaji kamuonya kwa kumwambia yeye (Tundu) kama mwanasheria hapaswi kueneza uzushi kwa mambo asiyokuwa na uthibitisho nayo.
Muandishi kaenda mbali kwa kumwambia ''mbona Masha alikuwa waziri wa Kikwete akahamia upinzani na sasa amerudi CCM huku akimuunga mkono Magufuli kabaki kutoa macho huku akishindwa kutoa uthibitisho wa kununuliwa wapinzani.
Alichosema ukweli ni idadi ya risasi alizopigwa mwilini ni 16 na sio 38 kama wafuasi wake wanavyosema, pia amekiri wazi kuwa kama akiwa rais ataweka sheria ya kuunga mkono ushoga. Pathetic!
Mwisho, Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kishoga kama ambavyo unatamani.
Kamanda hayo ni maneno ya Lissu akihojiwa BBC si yangu, ulitaka asiseme sera yenu kwenye suala la ushoga?Kwa propaganda za kijinga hizo hamtafanikiwa na iko siku hata shetani atawaona wajinga tu nyie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo huwa anasemwa ustawi wa jamii na baba akiwa muuaji au ana ukatili wa kinyama anashitakiwa vile vile na akikutwa na hatia anafungwa tu.Baba hata akiwa mbaya huwezi kusema kwa watu maana hao watu hawatakusaidia zaidi kujiua familia yenu na ikawa rais kuiangamiza