NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Lipi?Halitotokea hilo milele yote
Lipi?Halitotokea hilo milele yote
Duh! Kazi kweli kweli!Mgombea wa 2020 amesema wazi, akirudi anaanza kampeni kufutwa sheria zinazokataza ushoga. "It's a privacy matter" Wapinga ushoga tumekwisha!!!
Hahaha nadhani BBC wanajuta sana kumkaribishaSteve 'Do you have evidence'?.
Lissu "the car,the car told me"
Steve "so your not happy with your country achievement"
Lissu 'Steve people are murdered,the ruling party is blah blah"
Steve "do you have evidence?
Lissu "i call people they tell me"🙉
🤣🤣🤣
mwingereza umetuachia majanga mfwate lawyer wako huku.
Wakati wanammimina risasi zote zile hamkufikiria kuichafua nchi?Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Uko sawa mkuu.The truth is..Lissu is being grilled here, he thinks he has a point, but he is just moving around the bush with no evidence, he tries to reject everything with no critical evidence..thats where I like the interviewer..give concrete evidence not just words like a parrot..[emoji847][emoji847][emoji847]
Hakuna walicho pata zaidi nafsi zao kujaa aibu kubwa.Lissu wagongeee..
Nyie mmepata faida gani kutaka kumuua kaka wa watu?
Lis mbona kashindwa kabisa kujibu maswali yaani kaonesha udhaifu na ujinga wake wote, BBC watakuwa wanajutaLisu namba jingine, jamaa alitaka kumtoa lisu kwenye reli, ila nazani alikuwa anapima uwezo lisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitetemeka hili swali atalijibu namna gani. Akivurunda amekwisha! Loh! Genius! That was the right answer! Hakumkwaza yeyote, si wazungu si watanzania, si waafrika. Yanayofanyika chumbani yaache chumbani as long as hayakatazwi na Katiba !Lissu nikaona anareflect, anavuta pumzi kisha akamjibu WHAT IS IN THE BEDROOM REMAINS IN THE BEDROOM!. Dah yule Steven Surkur akaona keshamalizwa, akang'ang'ania swali lake hilohilo Lissu akawa ameshammaliza
Sio ana base kwa Magufuli huo ndio ukweli hawa jamaa wanakubali kwa kiasi kikubwa performance ya Mheshimiwa Rais Magufuli..Steve anaonekana ana base kwa MAGUFULI ila Lissu noma anakwepa mazuri anataja mabayaView attachment 1000799
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuweza kujibu lolote zaidi ya kupindisha ukweli, kwa hiyo ndio kaenda kuomba msaada kwa kukiri kuwa yeye ni muumini wa ushoga?Hao wazungu wanajua propaganda zenu za kuwaita mabeberu hivyo kwa kuhumoji kama mnavyotaka, wanakuwa wamezima propaganda zenu na hapo hapo ujumbe wa Lissu unakuwa umefika kuhusu kasoro za huu utawala wa Magu.
Font page hatoshi kuingia Hard Talk
Halafu hizo picha mbili za chini ni za Kenya,Aibu sana ku-post vitu vya uongo,siku nyingine tumia common sense,picha zenyewe zina maandishi ya China kwasababu SGR Kenya ilitekelezwa na wachina tofauti na TZ inajengwa na UturukiMwambieni Tundu Lissu wenzie tunapiga kazi wala hatumuhitaji kwa hizo siasa zake chafu.View attachment 1000787View attachment 1000788View attachment 1000789
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wazungu wanajua propaganda zenu za kuwaita mabeberu hivyo kwa kuhumoji kama mnavyotaka, wanakuwa wamezima propaganda zenu na hapo hapo ujumbe wa Lissu unakuwa umefika kuhusu kasoro za huu utawala wa Magu.
Siyo kuwa ana base kwa Magufuli, anamchokonoa Lisu kusudi akanushe anayoyataja Stephen, ataje mabaya yanayofanywa na serikali na hyo yanayoonekana mazuri maelezo yake yakoje. Ilikuwa interview nzuri sana. Basically kwa waliosoma sheria, alikuwa anaulizwa LEADING QUESTIONS ambayo katika direct examination hayaruhusiwi. Unamuuliza mtu ili ajibu unavyotaka. It seems Stephen alitaka aLisu aanike mabaya ya JiweSteve anaonekana ana base kwa MAGUFULI ila Lissu noma anakwepa mazuri anataja mabayaView attachment 1000799
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka arudi nauli umeshamtumia.Naam,
Mwezi januari umekuwa mbaya kwa wasema hovyo. Alinza Zitto na Fatma Karume sasa ni Tundu Lissu.
Ushauri tu kwa ndugu Lissu unapoenda kwenye mahojiano mahsusi hususani kwenye media za kimataifa jiandae achana na propaganda zisizo na uthibitisho. Ni dhahiri, Lissu amezoea mahojiano ya upande mmoja kupitia VOA au DW ambapo mara nyingi watangazaji humuacha azungumze anayotaka.
Tundu Lissu ulipwaya kwenye mahojiano sasa umethibitisha ya kwamba umepona rudi bungeni badala ya kupiga porojo.
Mwisho, Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kishoga kama ambavyo unatamani.
soma post#4 utapata maana ya kubase kwa Magufuli!Sio ana base kwa Magufuli huo ndio ukweli hawa jamaa wanakubali kwa kiasi kikubwa performance ya Mheshimiwa Rais Magufuli..
Tundu Lissu ameshindwa kabla hajaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app