Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Magu anaita wale wa Barrick wanaume! Mwanaume huyo hapo, anajibu maswali ya mtangazaji mzoefu ambaye mezani kajiandaa na makaratasi kibao.
Tuwe wakweli katika top cream ya uongozi wetu nani anaweza kukabiliana na hard talk? Jee ni magu? Samia au Majaliwa? Nani sasa? Mambo ya ndani Lugola au IGP? Labda Mahiga? Hata yeye tukumbuke hiyo ni hard talk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hard talk ukiwa mkweli inakuwa easy..ila ukitaka kujenga hoja za uongo it becomes real hard..huwezi sema rais ana attack wafanyabiashara..how? Hiyo interview ingekuwa rais sana kwa tundu kama anayehoji angekuwa hajui yanayofanywa na magu..inshort steve kamsafisha sana magu dhidi ya uongo wa tundulisu..maana lissu akiweka uongo jamaa anampa fact..ilifika point lissu anamuita jamaa kwa jina wakati jamaa hana nafasi ya muda wa kumuita yeye jina..jamaa kampa mifano kama ya kina masha, mifano ya barrick, wafanyakazi hewa, rushwa, ununuzi wa ndege, ukusanyaji kodi..what else can steve say

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Lisu anajimaliza kisiasa lakini hajalitambua hilo. Yeye anafikiri anaichafua serikali ya Magufuli maana ukiangalia interview nzima alikuwa hajibu anachoulizwa
Na ameweka wazi kabisa kwamba anaukubali ushoga na hata ikitokea akachaguliwa ataacha mashoga waendee na ushoga wao na kama kuna sheria zinazuia ushoga atazigmfutilia mbali

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani sasahivi ushoga umekomeshwa?
 
Damu Ya Mtu Kumwagika Ni Mbaya Sana, Bora Hajafa, Angekufa Wahusika Wa Kitendo Kile Wangechanganyikiwa Kwa Laana
 
Kamanda, jielekeze kwenye hoja si viroja. Tundu Lissu anasema kapigwa risasi 16 ninyi mnasema 38 nani mkweli?
Ndio maana nasema au alivyosema mkuu JokaKuu unalazimisha akili zako kule zilikoamishwa na wote wawe kama wewe. 38 bullets fired and 16 entered his body. Nini huelewi hapo?
Napata shida sana kuwa na viongozi kama wewe (hata kama umeficha ID yako) nadhani sasa tunapaswa kuvunja miiko ya JF na kufanya alichofanyiwa yule aliyemtisha Zitto kumuua. Ameanikwa wazi wazi jina lake,picha yake, anaishi wapi, hivyo mke wake, watoto wake na ndugu wamefahamika kwenye jamii.
Ili sasa akitamba "unanijua mimi nani?" anaambiwa twamjua hata mkeo unasemaje? pengine ndio wenye nafasi za umma mtaacha ujinga
 
Dereva hajafa so inakuwa rahisi kuchunguza coz ye ndo shahid wa kwanza sasa dereva mwenyewe mmekataa asiulizwe kitu na hajulikani alipo so mnataka watu wawaze nini.
Yan risasi zote zile dereva haijampata hata moja???? Bado kuna ukakasi hapo.
Sawa mkuu kwanza naomba nikusahihishe hapo kuwa mie sipo upande wowote ule juu ya jambo hili, Ila pia hapo uliposema dereva hajulikani alipo ni jukumu la jeshi la polisi kumtafuta na kumhoji mkuu, hakuna raia yeyote anaweza kujificha na asipatikane iwapo jeshi la polisi likiamua kumtafuta!
Hata ichukue miaka mingapi atapatikana tu iwe yuko hai au amekufa.
Hivi angekuwa huyo dereva amefanya uhalifu mwingine kwa mtu mwingine asingepatikna mpk leo hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The truth is..Lissu is being grilled here, he thinks he has a point, but he is just moving around the bush with no evidence, he tries to reject everything with no critical evidence..thats where I like the interviewer..give concrete evidence not just words like a parrot..[emoji847][emoji847][emoji847]
You are very right..jamaa huwa hawataki assumptions..mpe facts..maana nae anazo ambazo amezitoa kwenye sources za kuaminika..long live hardtalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ni Hard Talk. Nimemvulia kofia Tundu Lissu kwa Ung'eng'e safi. Vijana wa Tanzania jifunzeni kiingereza. Mengine yaliyoongelewa sina comment.

Msemaji wa Serikali DR feki mwenye vyeti feki mda huu yupo kajifungia anaangalia kisha aende kwa mtukufu akakariri cha kumjibu Tundu Lisu pasipo kuchanganya na Akili zake japo ni ndogo, Nchi hii kwa sasa inatawaliwa kishamba sana.
 
Tundu Lissu anza kuwavulia nguo hao mabwana zako huko huko wakuhemee kisogoni. Kama unaweza kukubali kuhalalisha ushoga ili upate support ya kugombea urais na kwa akili yako ukasahau kama si mila na desturi za hao unaodhani wanaweza kukupigia kura basi ujue wewe si kiongozi. Kiongozi ni yule anaekumbatia matakwa ya watu wake walio wengi no matter what. Binafsi nimechukia mno na hii interview yako na hawa mabwana zako. Tunafahamu siasa za kimataifa na tunafahamu nini kinatafutwa na hao wazungu. Hatutakupa kura ndugu yangu. Hufai hata ubalozi wa nyumba kumi kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
unavyoandika utafikiri umeelewa lugha iliyokuwa inatumika!!!!!
subiri mahojiano yenu ya Makwaia Makwaia hii lugha ya malkia huielewi
 
Moja ya kosa ni kutoruhusu huyu mtu kupigania uhai wake kwa kutumia resources za nchi. Sasa hivi angekuwa anaulizwa kama walitaka ufe ni kwanini walikutibu? Sasa bunge letu halikumtibu kwa sababu za kiutaratibu. Angetibiwa hata hizo unazoziita Bla Bla za kasuku asingekuwa nazo.
Tusingeweza matibabu yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yuko over confidence, Nahisi mabeberu wanaanda kitu 2020 kwa ajili yake.

Tuwe wavumilivu muda utaongea...
 
Lissu nimekosa cha kumfananisha nacho. Si mtu wa mchezo mchezo asee
 
Lissu Jana Akiwa BBC amesema kwamba Alishambuliwa kwa jumla ya Risasi 54, yaani 16 ziliingia Mwilini na 38 zikimkosa.
.....
Sasa Mbona Taarifa ya Lissu inatofautiana na ile ya Chadema Waliyoitoa Mwanzo Kwamba Lisu alishambuliwa kwa jumla ya Risasi 38 kati ya hizo 17 zikiingia Mwilini na 21 zikimkosa?
....
Kwa hiyo Kwa Alichokisema Lisu Jana Ni Kwamba tayari zimeongezeka Risasi zingine 16.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hard talk ukiwa mkweli inakuwa easy..ila ukitaka kujenga hoja za uongo it becomes real hard..huwezi sema rais ana attack wafanyabiashara..how? Hiyo interview ingekuwa rais sana kwa tundu kama anayehoji angekuwa hajui yanayofanywa na magu..inshort steve kamsafisha sana magu dhidi ya uongo wa tundulisu..maana lissu akiweka uongo jamaa anampa fact..ilifika point lissu anamuita jamaa kwa jina wakati jamaa hana nafasi ya muda wa kumuita yeye jina..jamaa kampa mifano kama ya kina masha, mifano ya barrick, wafanyakazi hewa, rushwa, ununuzi wa ndege, ukusanyaji kodi..what else can steve say

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tunaposema vuvuzela hakika hamuelewi jambo. Steve ameonyesha anaelewa inn and out ya nini wanakifahamu (hao mnao waita mabeberu) kuhusu Tanzania hii. Alichokuwa akikisukuma ni Lissu afunguke tuu, yeye alikuwa anajaribu kumuuliza kama vile yupo hapa Tanzania na jinsi watawala wanavyo jielekeza. Hawezi kumuuliza kama wama gharibi wanavyo muona kwani yeye ni mpinzani wao?
THATS HARD TALK MY FRIEND! fungua akili utaelewa
 
Tundu lisu muache aseme tuu asee, kukaa Kitandan mwaka mzima kwa kupigwa risasi kiuonezi , kipi kinazidiana na hicho asemacho , ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom