Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Kawaahidi kuwa akiwa rais atatunga sheria itakayowapa haki ya kufanya ushoga.Pathetic!
Kawaahidi kuwa akiwa rais atatunga sheria itakayowapa haki ya kufanya ushoga.Pathetic!
Lisu anaambiwa aonyeshe ushahidi anabaki akishangaa...
Kwani mnateseka !!?Ni zaidi ya Malaya mkuu. Yaani huyu hafai hata kuwa baba wa familia. Ana uwezo wa kupewa hela na mtu ili alale na mkewe na akakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu anaambiwa aonyeshe ushahidi anabaki akishangaa...
HahahaKwani huyo jamaa yenu anaelewa kinacho ongelewa hapa au ana mkalimani pembeni??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wasukuma wawili toka kolomije na chato wanafanya unyama unyanyasaji kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi kisha eti hawataki waongee huo ni Uonevu mkubwa sana.Ndio maana matamko ya kumtaka arudi yameongezeka, hawataki aongee.
Huo ni uongo amesema sheria za nchi hii haiingilii privacy ya mtu na hata Mahiga alieleza uamuzi wa mashoga ni wa RC wa Dar na siyo sheria ya serikali ya Magufuli, na akiwa raisi status ya kama sheria ina vyosema kuhudu kuingilia privacy za watu hajatumia atatunga sheria .usipotosheKawaahidi kuwa akiwa rais atatunga sheria itakayowapa haki ya kufanya ushoga.Pathetic!
Hebu kwanza nini mkuu! Hahahahaa hako kamsemo kazuri kamekaa njemaHebu kwanza
Kama John Kennedy rais wa marekani aliuwawa itakuwa Lissu? yeye anakiri kufuatiliwa na wauaji kwa wiki sita mfululizo lakini hawajui, hadi mtangazaji kamshangaa. Hana ushahidi wa lolote analosema, ni kweli mauaji Tanzania yanatokea kwa mara ya kwanza katika utawala huu?Yeye kama mwanasheria anapaswa kusema ukweli, eti anaongopa kuwa makusanyo TRA yanashuka, kweli? alichosema cha ukweli ni idadi ya risasi alizopigwa kuwa ni 16 sio 38 na mwishowe kaahidi akiwa rais atatunga sheria itakayowapa haki ya kufanya ushoga.Pathetic!..hakushangaa.
..alijibu kuwa area D ni eneo lenye ulinzi mkali wa serekali, lakini siku ya shambulizi haijulikani walinzi walitokomea wapi.
..mtangazaji hakuomba tena ushahidi.
..halafu kuna suala la umaarufu wa Magufuli. TL alilipangua kwa utafiti wa TWAWEZA na jinsi serekali ilivyopitisha sheria ya kudhibiti ukusanyaji maoni.
Kwa hiyo nawe utaanza ushoga?Mgombea wa 2020 amesema wazi, akirudi anaanza kampeni kufutwa sheria zinazokataza ushoga. "It's a privacy matter" Wapinga ushoga tumekwisha!!!
Ukweli una upande, kaahidi kuleta sheria ya kuwapa haki na kuruhusu ushoga hata urembe vipi maneno.Huo ni uongo amesema sheria za nchi hii haiingilii privacy ya mtu na hata Mahiga alieleza uamuzi wa mashoga ni wa RC wa Dar na siyo sheria ya serikali ya Magufuli, na akiwa raisi status ya kama sheria ina vyosema kuhudu kuingilia privacy za watu hajatumia atatunga sheria .usipotoshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumwelewa maana huna independent thinking! Umeshaambiwa wimbo wa ushoga , basi . Amesema ya chumbani yaache chumbani. Unadhani haya mambo hayafanyiki ? Si ajabu hata usiyemdhania anayafanya! CHUMBANI. Mbona pwani ni mchezo wa kawaida? tena kwenye ndoa! ya chumbani waachie!Kamanda kizuri kahitimisha hitaji lenu kuwa akiwa rais atawapa sheria inayowapa haki ya kufanya ushoga.Pathetic!
Hajasema hivyo, amesema ya chumbani yaache chumbani! Si ajabu hata huyo usiyemdhania anayafanya kama falagha yake!Kabanwa hapo na mwishoni kakubali kwamba akichukua mamlaka ataruhusu ushoga!!
Anawashwa washwa
Inabidi akunwe.. hako ka MP kakitoe
Mbona hajiiti mgonjwa tena?
Baada:
Kaa huko huko na ukimbizi
Ukirudi hata kura ya udiwani hatukupi
Leo Lissu katoka kituko.. kweli hana akili.. Mzungu kakuumbua ukijiangalia tena utalia. Umetoka kituko eeeeeh Lissu 💀💀💀
Hukuwa na akili za kuongea kwenye Hardtalk.. hongera kwa Mzungu kwa kuongea mazuri aliyoyasikia na wewe hata kaneno ka wananchi hukutoa.. kisa tupo lako tu.
La ushoga hilo... mmmmh!! Eeeeh jiongeleeee pia umeulizwa wewe.. eeeh ungejibu wewe kiwewe.. lissu bomu.. uraisi hupati ng'oooo
La wanafunzi.. Lissu wewe hata upinzani haukufai.. ni bomu tu wewe
Unaomba nini.. eeeh husipopewa hutarudi.. umejaa upupwu.. liongo la karne..
Kituko umetoka.. tamaa mbaya.. umejiumbua.. ukome🤣🤣🤣
Hahahahaha Lissu amebanwa kisawasawa hadi anajuta kuomba interviewa hahahahahah oooooh nitaruhusu ushoga nikiwa Rais