Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

..hakushangaa.

..alijibu kuwa area D ni eneo lenye ulinzi mkali wa serekali, lakini siku ya shambulizi haijulikani walinzi walitokomea wapi.

..mtangazaji hakuomba tena ushahidi.

..halafu kuna suala la umaarufu wa Magufuli. TL alilipangua kwa utafiti wa TWAWEZA na jinsi serekali ilivyopitisha sheria ya kudhibiti ukusanyaji maoni.
Akasema mpaka sasa mkurugenzi wake hana passport, pia sheria ya takwimu inayozuia kufunua takimu za udhaifu wa serikali
 
..wewe uko biased.

..maswali yalikuwa mengi na muda ulikuwa mchache.

..lakini bila kutoa majibu ya uhakika kuhusu walinzi wa area D serekali itaendelea kushukiwa kuhusika na tukio lile.


..hata waziri mpango amelalamika kuwa makusanyo yamekuwa yakishuka. Labda TL alikosea kutokumtaja mh waziri wa fedha.
Mkuu polisi wameshasisitiza dereva aletwe ili awasaidie sababu Lissu anadai wauaji waliwafuatilia takribani wiki sita, kumbuka dereva aliweza kutoa hadi namba ya gari sasa kuna ukakasi gani hadi afichwe Ubelgiji kwa kisingizio cha ''kutibiwa saikolojia?''
 
Wenye kuona mbali 2020 kuna kazi!
Huyo tayar ashakua kibaraka, na waafrika wakimezeshwa kuwa flani ni kibaraka tayar huna chako.Huyu Lisu hana ubavu wa kushindana na jpm

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Nimeangalia interview mwanzo mwisho... Yani lissu kapwaya sana mkuu sikutegemea hvi..mtangazaji anaonekana ana full detail kinachoendelea tz na muda unafika unaona lissu mwenyewe anabadilika usoni yan kukasilika kuona mtangazaji anapangua tuhuma zake dhidi ya government kwa kumpa detail.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hajapwaya ndiyo maana watetezi wa CCM mitandaoni wameweweseka kama angepwaya wasingehangaika kutengeneza visingizio vya kishamba toka kolomije na chato.
 
Jiwe kafanikiwa kupandikiza CHUKI KALIIIII, siamini kama Lumumba mmekuwa na roho ngumu kiasi hiki.

Iko wapi CCM ya Nyerere.
CCM ya nyerere unayoitaka lisu angekua ahela saiz.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
T
Ukweli ni kwamba Lisu anajimaliza kisiasa lakini hajalitambua hilo. Yeye anafikiri anaichafua serikali ya Magufuli maana ukiangalia interview nzima alikuwa hajibu anachoulizwa
Na ameweka wazi kabisa kwamba anaukubali ushoga na hata ikitokea akachaguliwa ataacha mashoga waendee na ushoga wao na kama kuna sheria zinazuia ushoga atazigmfutilia mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu toa maswali aliyoulizwa na majibu yake! Utakuwa ni uashahidi kuwa alikuwa najbu ambacho hakuulizwa
 
amejitahidi kwa levo za kibongo lakini nawaza hapa ingawa sio kitu kizuri ila mtanzania anaetaka uongozi kama urais kwa nchi kama Tanzania sio vizuri sana kujipeleka kwenye vipindi kama hivi make lazima kuna vitu utaulizwa na majibu yako wapinzani wako watayatumia kukupiga kwenye kampeni.. na kwa mtazamo wangu kwa aina ya uelewa walonayo wapigakura wetu hili jibu kuhusu ushoga litamcost pakubwa.
Na fimbo nyingine ni kuwa jamaa ni kibaraka wa wazungu.Kuna hoja nyingi sana za kummaliza.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Lisu anaambiwa aonyeshe ushahidi anabaki akishangaa...
Binafsi sikuangalia na nilijua mtoa mada labda kaongezea chumvi lakini nimeona tu comment yako hii nimejilidhisha kuwa kweli mtoa post kaandika Ukweli..! Maana wewe nakujua wa Mabibo pale barabara inayotoka Lindi/Mtwara Kwenda Masasi kabla hujafika nyangao.
 
Mkuu polisi wameshasisitiza dereva aletwe ili awasaidie sababu Lissu anadai wauaji waliwafuatilia takribani wiki sita, kumbuka dereva aliweza kutoa hadi namba ya gari sasa kuna ukakasi gani hadi afichwe Ubelgiji kwa kisingizio cha ''kutibiwa saikolojia?''
Namba za Gari mkaangalie kwenye zile CCTV mlizozitoa.
We haya kaa pembeni kashughulikie nyimbo za Nyegezi au mambo ya Ambaluti haya huyawezi. Au unaonyesha jitihada kulinda cheo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu polisi wameshasisitiza dereva aletwe ili awasaidie sababu Lissu anadai wauaji waliwafuatilia takribani wiki sita, kumbuka dereva aliweza kutoa hadi namba ya gari sasa kuna ukakasi gani hadi afichwe Ubelgiji kwa kisingizio cha ''kutibiwa saikolojia?''

..sawa.

..Je, hili la walinzi kuondolewa area D nalo linahitaji ufafanuzi toka kwa dereva?

..hivi wenzetu huko nje wanaposikia mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni kapigwa risasi namna ilivyotokea kwa TL unafikiri wanaichukuliaje nchi yetu?
 
Majibu ya MAHIGA yalipinga USHOGA au yalipingana na wanaokataza USHOGA.

Mbona CCM, JIWE na MAHIGA hamjaungana na BASHITE kufanya kampeni yenu iwe endelevu ??
Lkn elewa tu wananchi wanajua CCM wanapinga ushoga na CDM wanaunga mkono ushoga. Fanya tathmini

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Hatua zilichukuliwa bali serikali ilikosa ushirikiano na dereva ambaye alikuwa shahidi mlikataa kumtoa wangefanyaje
Kuwa na akili,na CCTV camera ziko wapi? Zile ndiyo ukweli usio na shaka hata kama dereva asipopatikana. Unataka kusema hata angekufa kwenye tukio upelelezi usingetokea kwa kuwa amekufa? Nyuma inavamiwa na majambazi na watu wote ndani wanauawa lakini upelelezi unafanyika mpaka wanapatikana.

Ngoja nikurahisishie kazi, yule aliyepanga walinzi wote wasiwepo eneo lile ili uuaji ufanyike anahusika na lile tukio,ukimpata huyo basi kazi ya kukamata wauaji itakuwa rahisi.
 
Back
Top Bottom