Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 365
- 307
Kwani CCM na Genge lake ndio Tanzania?Tulia unyolewe
Hajaisemea mabaya Tanzania bali CCM na Serikali yaoHuyo hajali na hana uchungu na nchi, once a traitor always a traitor.
Sasa anataka kuwa raisi kwenye nchi anayoipaka matope?!
Ataongozaje sasa si itakuwa koloni tena hivihivi tena kwa bei rahisi kabisa ya juisi na biskuti tu
Sipati picha mimate na harufuHalafu ukimsikiliza ni ule ubishi wa kibongo na miasira, anaongea utafikiri ugomvi.
..nadhani wengi humu wamezoea kuangalia interviews zinazoongozwa na waandishi wa habari wa Tz.
..waandishi wa habari ya nje ni lazima wakutingishe-tingishe ili kuona kama hicho unachowaambia ni kitu unachokiamini kwa dhati kabisa-kabisa.
..yule mtangazaji alijaribu kumbabaisha TL ili amuone kama yuko madhubuti. Na kilichokiona ni kwamba TL hakutetereka. Zaidi hakupandwa na jazba.
..Nakumbuka Raisi Mkapa alikwenda kwenye Hardtalk na alipandwa na jazba kwelikweli.
..Jiwe aliulizwa swali moja akiwa Uganda ikabidi Mzee Museveni amsaidie kuli-simplify na kumtafsiria swali.
..Kwa maoni yangu TL amethibitisha kwamba anaweza ku-handle vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi.
Wewee umesahahu? Hivi yule mtaalamu Wa IT aliyeuawa kinyama mpaka Leo nini kimetokea Kenya? Mambo ni Business as usual, Hawara zenu wazungu wamefanya nini?
Nakubaliana nawe asilimia mia moja... Mwandishi alikuwa anajaribu kumweka Lissu kwenye kona mbaya lakini alishindwa
Jr[emoji769]
Baba hata akiwa mbaya huwezi kusema kwa watu maana hao watu hawatakusaidia zaidi kujiua familia yenu na ikawa rais kuiangamizaHapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Hatua zilichukuliwa bali serikali ilikosa ushirikiano na dereva ambaye alikuwa shahidi mlikataa kumtoa wangefanyajeWe una uchungu?
Amepigwa risasi mmechukua hatua zozote?
We mbona umeshikiria mihasira kibao, ni style ya TL firmness.Tindu Lisu ni low IQ, mfundisheni kurelax na kufikiria kidogo swali aliloulizwa kabla ya kujibu.
Utafikiri ilikuwa ni ugomvi? Miasira kibao.
Magu ataweza kuwa tayari kuhojiwa?Halafu Tundu Lisu hajui English vizuri, makosa kibao.
Unamuomba Nani mkuuMabeberu nimeamini sio watu wazuri. Naomba Lissu apewe zaidi interview
Nimesikiliza interview mbili kwa ndugu yetu na mabeberu, aisee the agony is real. Tundu lissu alijua akienda na nyuzi za Salary Slip BBC atakuwa amemaliza mchezo akajua kwa vile beberu Steve halijui kiswahili basi kumbe jamaa ana kila data.
Beberu lina polls zote ,sio data kutoka Tanzania tu mpaka kwa watafiti wa Oxford. Lissu aliishiwa nguvu pale jamaa alipomquote Lawrence Masha.
Upinzani rudini kwanza square one mmpange vizuri TL.,haya mabeberu yatawaachia harufu tu hamna cha maana
Vijana mkikosa kazi ndo mnaamka na uzi kama huu ambao hata babu yangu kule kijiji akiusoma atakuona wewe ni hamnazoHapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
mkuu sikiliza ndo uje na mrejesho.