Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Leo hizi nyunzi za lissu zitakua nyingi sana kila mwana Lumumba anaanzisha ya kwake kazi kweli kwel
 
Indeed
Huyo tundulissu msaliti amesha laaniwa na Watanzania wote, Maana hakuanza leo walahi
Na hiyo laana itabaki kwake mpaka kizazi cha nne walahi
Anajaribu kutuletea na ushoga, kisa litumbo lake tu, sasa kamfikisha MAMA TANZANIA MWISHO WALAHI
Waliomcharaza risasi je? Nao unawasemeaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mawazo hasi haya, mbona ujawaza kitendo chake kinaweza kuwa matatizo. ujawaza kwamba ni mwanzo wa demokrasia ya kweli
 
Nimemsikiliza Lissu. He is still the same Lissu the great.

Bichwa linakaribia kupasuka huko.
 
Tundu Lissu kama mbunge wa Bunge la Jamhuri na mtanzania tena aliyebobea kwenye nyanja za sheria anashindwa kutumia hadhi yake hio na kubaki na heshima yake ambapo ukomo wa ubunge wake ni 2020.
Kitendo cha yeye kuongea na media za kimataifa siri na udhaifu wa demokrasia ya nchi yake ni kuwaalika maadui wa nchi nyingine watumie mianya hio kuturudisha hatua nyuma. Hii inaonyesha picha kuwa Lissu anatamani kuona Tanzania isiyo na amani. HUU NI USALITI WA NCHI.
lazima awanyime amani kama mlivyomnyima yeye na familia yake amani
Kipimo kile kile mlichompimia ndicho atakachowapia....kenge maji wewe, acha mle nyasi ndipo akili zenu za kilumumba zitawakaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Hata ingekuwa mimi mkuu sio kwa risasi zile.
Jamaa hana cha kupoteza coz mmeshamtia kilema cha maisha na hata saikolojia yake haiko vizuri kama zamani kwa ajili ya lile tukio na yeye anawaza kwamba nyie ndo mlimpiga hzo risasi.
So inabidi mumwache tena mkae kimya kabisa coz kama mlitaka akae kimya mlitakiwa mtumie zile risasi nyingi mlizomgonga ila kwa vile mlifail mwacheni.
Mwenzenu hapo alipo ana vyuma kibao mwilini bado anamzigo wa magongo af unakja hapa unasema una hasira na yeye asemeje?
 
umeona kama mimi lakini kihalisia ni ngumu sana kuwa na evidence ya hizi habari lakini ndio ukweli wenyewe kwamba nchi inaendeshwa kihuni.

hawa wazungu wako smart sana muuliza maswali alijipanga vizuri kumgonga lissu nyundo za maana na lissu kajitahidi sana.

na swali la mwisho kuhusu ushoga na mimba ndio lilikua key ya interview nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kwenye ushoga ndio kachemka kabisa, badala ya kujibu swali straight anaanza na Magufuli..mpaka interviewer kamwambia its not about Magufuli.. Lissu is obsessed with JPM..a nightmare to him
 
Lissu ndiyo maana huwa anawagaragaza wanasheria mahakamani, Jamaa anajua kukwepa mitego anajua kupiga punchline.

Yaani kiufupi HARDTALK leo imepata mtu aliyeitendea haki hasa hususan kuhusu siasa za Afrika.

Sidhani kama Jiwe anaweza kukalia kile kiti akakata nyanga kama Lissu alivyokuwa akitambaa na maswali kama Messi vile!
Jiwe hawezi hata kufanya interview na Pascal Mayalla
 
Indeed
Huyo tundulissu msaliti amesha laaniwa na Watanzania wote, Maana hakuanza leo walahi
Na hiyo laana itabaki kwake mpaka kizazi cha nne walahi
Anajaribu kutuletea na ushoga, kisa litumbo lake tu, sasa kamfikisha MAMA TANZANIA MWISHO WALAHI
Watanzania wote? Kasoro waliomchangia matubabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani tufikie muda sasa mamlaka ya bunge yamchukulie hatua kali za kinidhamu kama mbunge ka hayo anayo yafanya ni kulidharirisha bunge na nchi aitwe ahojiwe
ila wale wasiojulikana wamimina risasi hovyohovyo ndio wazalendo waachwe wapete tu
 
Back
Top Bottom