Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

..dunia imejua kuhusu ufisadi wa Chato airport.

..watu wanaookotwa kwenye viroba. Mamia waliopotea Mkiru.

..mamia ya vijana waliokamatwa kwa makosa ya mtandao.

..sheria kandamizi ya vyama vya siasa iliyopelekwa bungeni.

..wengi hawakuelewa lengo la muongoza kipindi lilikuwa ni nini.
Wacha Lissu amnyooshe Magu.

Safi sana hii!!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akikata nyanga huko BBC.
Aisee huyu jamaa ni kichwa, ni hazina ya Taifa.
Nimefurahi jinsi alivyokuwa akimwaga mapoint huku akitumia kiingereza safi kabisa utadhani kazaliwa na kukulia kwa Malkia.

Baadhi ya maswali ya Mitego ni kwamba yeye kama kiongozi wa upinzani je yuko Tayari kuondoa sera za kupinga mashonga?.Hili swali lilikuwa la mtego mno maana angeharibu hapa wazungu wangemuona pimbi.

Lissu nikaona anareflect, anavuta pumzi kisha akamjibu WHAT IS IN THE BEDROOM REMAINS IN THE BEDROOM!. Dah yule Steven Surkur akaona keshamalizwa, akang'ang'ania swali lake hilohilo Lissu akawa ameshammaliza

Steven Sutkur akamuuliza tena swali la Mtego kwamba Je wewe uko tayari kurudi bongo na kupambana kumuondoa Jiwe madarakani, Lissu akasema any moment Daktari wake akimruhusu na kumwambia yuko fiti kuendelea na Majukumu atarudi bongo na pia akasema kama chama chake kitamuamini na wananchi kumuunga mkono yuko Tayari kulifyekelea mbali Jiwe

Kisha Jamaa akamuuliza Je huogopi kurudi nyumbani kwa usalama wake?. Lissu akamwambia Serikali ya Jiwe itakuwa na jukumu la kumhakikishia ulinzi wake kwa sababu ana haki hiyo na pia serikali ya Jiwe itakuwa na jukumu la kuionyesha dunia kuwa kweli imetimiza jukumu lake!

Aisee!. Hiki kichwa ni hatari, Lissu nje ya nchi ni hatari kwa Siasa za Jiwe kuliko kubaki humuhumu ndani kwa kipindi hiki. Mimi nasema hivi aendelee kukandamiza kutokea hukohuko!!
Kwa interview hii tayari inaonyesha Jiwe bado ni kipenzi cha hawa wazungu. Tundu Lissu arudi kuwatumikia wapiga kura wake kwani hana ubavu wa kupambana na Jiwe kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwehu huyo walahi
Hana lolote na wadhungu wameshajua shida yake ni kupata pesa ya mashoga wa ughaibuni!
Hahahaha
Hapati kitu maana wamemchora kweli kweli walahi
Nikiangalia avatar yako unaonekana unaandika ukiwa kuzimu maana imekaa kichetani zaidi.
 
Anawashwa washwa
Inabidi akunwe.. hako ka MP kakitoe

Mbona hajiiti mgonjwa tena?

Baada:
Kaa huko huko na ukimbizi
Ukirudi hata kura ya udiwani hatukupi

Leo Lissu katoka kituko.. kweli hana akili.. Mzungu kakuumbua ukijiangalia tena utalia. Umetoka kituko eeeeeh Lissu [emoji88][emoji88][emoji88]

Hukuwa na akili za kuongea kwenye Hardtalk.. hongera kwa Mzungu kwa kuongea mazuri aliyoyasikia na wewe hata kaneno ka wananchi hukutoa.. kisa tupo lako tu.

La ushoga hilo... mmmmh!! Eeeeh jiongeleeee pia umeulizwa wewe.. eeeh ungejibu wewe kiwewe.. lissu bomu.. uraisi hupati ng'oooo

La wanafunzi.. Lissu wewe hata upinzani haukufai.. ni bomu tu wewe

Unaomba nini.. eeeh husipopewa hutarudi.. umejaa upupwu.. liongo la karne..

Kituko umetoka.. tamaa mbaya.. umejiumbua.. ukome[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwan akiongea kuna nn, acha stress hukumpa ka nauli ka ten bob joh
 
Kuna vitu vingine ni upumbavu tu mnaongea nyie nyumbu.

Hao hao akina Bashite na baba yake jiwe walijidai kukamata mashoga wakatishiwa na mabeberu wakafyata mikia na kila mmoja akamkataa mwenzake.

Je walitokomeza huo ushoga? Je ushoga haupo Tanzania? Je huyo DAB si ndio kiongozi wa mashoga? Je ni bora kuwa mnafiki au bora kuachia kila mtu afate maisha yake as far as kama mtu anaona kwake ni sawa afanye chenye anataka ilimradi havunji sheria za nchi?

Wote mnaomkejeli Lissu ndio mashoga namba moja tena ni wanafiki wakubwa sana.
 
Key words ya majibu ya Lissu ni haya;
’If they violate and I think they violate the right to privacy''
Kwa maana nyingine Tundu Lissu anasema sheria ya kuzuia ushoga inavunja haki za faragha.
Kabanwa hapo na mwishoni kakubali kwamba akichukua mamlaka ataruhusu ushoga!!
 
Anajitongozesha kwa wazungu tu huyo, umalaya kwa kiwango cha juu
Malaya ni nyie unaojionyesha kwenye runinga kila siku kwa show zenu za kutafuta kick za kitoto
 
Naam,

Mwezi januari umekuwa mbaya kwa wasema hovyo. Alinza Zitto na Fatma Karume sasa ni Tundu Lissu.

Ushauri tu kwa ndugu Lissu unapoenda kwenye mahojiano mahsusi hususani kwenye media za kimataifa jiandae achana na propaganda zisizo na uthibitisho. Ni dhahiri, Lissu amezoea mahojiano ya upande mmoja kupitia VOA au DW ambapo mara nyingi watangazaji humuacha azungumze anayotaka.

Tundu Lissu ulipwaya kwenye mahojiano sasa umethibitisha ya kwamba umepona rudi bungeni badala ya kupiga porojo.

Tundu Lissu umeongea uongo kuhusu makusanyo ya kodi,utawala wa sheria na zaidi kuongopea dunia ya kwamba mauaji au vifo vya watu havijawahi kutokea Tanzania.Kwa taarifa yako hapo London wapo wapemba kibao waliojitweka 'ukimbizi' baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Umeongopa mengi hadi mtangazaji anamwambia ''allegetions being made are infamatory'' kamtuhumu kutumia blogs na social media. Ni kama amejifunua na kukiri kuwa ameamua kuwaunga mkono wawekezaji kwenye madini sababu 'hakuungwa mkono miaka ya 90''

Ameshindwa kuthibitisha madai ya wapinzani kununuliwa hadi mtangazaji kamuonya kwa kumwambia yeye (Tundu) kama mwanasheria hapaswi kueneza uzushi kwa mambo asiyokuwa na uthibitisho nayo.

Muandishi kaenda mbali kwa kumwambia ''mbona Masha alikuwa waziri wa Kikwete akahamia upinzani na sasa amerudi CCM huku akimuunga mkono Magufuli kabaki kutoa macho huku akishindwa kutoa uthibitisho wa kununuliwa wapinzani.

Alichosema ukweli ni idadi ya risasi alizopigwa mwilini ni 16 na sio 38 kama wafuasi wake wanavyosema, pia amekiri wazi kuwa kama akiwa rais ataweka sheria ya kuunga mkono ushoga. Pathetic!

Mwisho, Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kishoga kama ambavyo unatamani.
Umemsikia leo hardTalk? Yuko izuri! Very articulate!
 
Tunashukuru kwa kututhibitishia kwamba uliangali kipindi.


Next time karibu tena na mualikane Lumumba wote muwe na mkalimani pembeni ili msipitwe mkashindwa kuelewa.
 
Naam,

Mwezi januari umekuwa mbaya kwa wasema hovyo. Alinza Zitto na Fatma Karume sasa ni Tundu Lissu.

Ushauri tu kwa ndugu Lissu unapoenda kwenye mahojiano mahsusi hususani kwenye media za kimataifa jiandae achana na propaganda zisizo na uthibitisho. Ni dhahiri, Lissu amezoea mahojiano ya upande mmoja kupitia VOA au DW ambapo mara nyingi watangazaji humuacha azungumze anayotaka.

Tundu Lissu ulipwaya kwenye mahojiano sasa umethibitisha ya kwamba umepona rudi bungeni badala ya kupiga porojo.

Tundu Lissu umeongea uongo kuhusu makusanyo ya kodi,utawala wa sheria na zaidi kuongopea dunia ya kwamba mauaji au vifo vya watu havijawahi kutokea Tanzania.Kwa taarifa yako hapo London wapo wapemba kibao waliojitweka 'ukimbizi' baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Umeongopa mengi hadi mtangazaji anamwambia ''allegetions being made are infamatory'' kamtuhumu kutumia blogs na social media. Ni kama amejifunua na kukiri kuwa ameamua kuwaunga mkono wawekezaji kwenye madini sababu 'hakuungwa mkono miaka ya 90''

Ameshindwa kuthibitisha madai ya wapinzani kununuliwa hadi mtangazaji kamuonya kwa kumwambia yeye (Tundu) kama mwanasheria hapaswi kueneza uzushi kwa mambo asiyokuwa na uthibitisho nayo.

Muandishi kaenda mbali kwa kumwambia ''mbona Masha alikuwa waziri wa Kikwete akahamia upinzani na sasa amerudi CCM huku akimuunga mkono Magufuli kabaki kutoa macho huku akishindwa kutoa uthibitisho wa kununuliwa wapinzani.

Alichosema ukweli ni idadi ya risasi alizopigwa mwilini ni 16 na sio 38 kama wafuasi wake wanavyosema, pia amekiri wazi kuwa kama akiwa rais ataweka sheria ya kuunga mkono ushoga. Pathetic!

Mwisho, Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kishoga kama ambavyo unatamani.
Kwa hiyo swali umeliona la
Masha tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom