Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Lissu kama mbunge wa Bunge la Jamhuri na mtanzania tena aliyebobea kwenye nyanja za sheria anashindwa kutumia hadhi yake hio na kubaki na heshima yake ambapo ukomo wa ubunge wake ni 2020.
Kitendo cha yeye kuongea na media za kimataifa siri na udhaifu wa demokrasia ya nchi yake ni kuwaalika maadui wa nchi nyingine watumie mianya hio kuturudisha hatua nyuma. Hii inaonyesha picha kuwa Lissu anatamani kuona Tanzania isiyo na amani. HUU NI USALITI WA NCHI.
 
Kumbe unafuatilia?
tapatalk_1548014357102.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ndiyo maana huwa anawagaragaza wanasheria mahakamani, Jamaa anajua kukwepa mitego anajua kupiga punchline.

Yaani kiufupi HARDTALK leo imepata mtu aliyeitendea haki hasa hususan kuhusu siasa za Afrika.

Sidhani kama Jiwe anaweza kukalia kile kiti akakata nyanga kama Lissu alivyokuwa akitambaa na maswali kama Messi vile!
 
yaani tufikie muda sasa mamlaka ya bunge yamchukulie hatua kali za kinidhamu kama mbunge ka hayo anayo yafanya ni kulidharirisha bunge na nchi aitwe ahojiwe
 
Vitabu Vya Kufichua Siri Na Njama Za Mauaji Ya Kupangwa Ipo Siku Vitatoka Tu Na Mambo Yatawekwa Wazi
 
Msihofu hayo ni maneno ya mgonjwa na serikali ilisema haibishani na mgonjwa!
 
Indeed
Huyo tundulissu msaliti amesha laaniwa na Watanzania wote, Maana hakuanza leo walahi
Na hiyo laana itabaki kwake mpaka kizazi cha nne walahi
Anajaribu kutuletea na ushoga, kisa litumbo lake tu, sasa kamfikisha MAMA TANZANIA MWISHO WALAHI
 
Tundu Lissu kama mbunge wa Bunge la Jamhuri na mtanzania tena aliyebobea kwenye nyanja za sheria anashindwa kutumia hadhi yake hio na kubaki na heshima yake ambapo ukomo wa ubunge wake ni 2020.
Kitendo cha yeye kuongea na media za kimataifa siri na udhaifu wa demokrasia ya nchi yake ni kuwaalika maadui wa nchi nyingine watumie mianya hio kuturudisha hatua nyuma. Hii inaonyesha picha kuwa Lissu anatamani kuona Tanzania isiyo na amani. HUU NI USALITI WA NCHI.
mimi sina uhakika nchi yetu ina maadui.......japo sijasikia alichosema huko nje
 
Tundu Lissu kama mbunge wa Bunge la Jamhuri na mtanzania tena aliyebobea kwenye nyanja za sheria anashindwa kutumia hadhi yake hio na kubaki na heshima yake ambapo ukomo wa ubunge wake ni 2020.
Kitendo cha yeye kuongea na media za kimataifa siri na udhaifu wa demokrasia ya nchi yake ni kuwaalika maadui wa nchi nyingine watumie mianya hio kuturudisha hatua nyuma. Hii inaonyesha picha kuwa Lissu anatamani kuona Tanzania isiyo na amani. HUU NI USALITI WA NCHI.
Ujinga huu kwanini hujamwambia anaesababisha!

kwa hiyo unateseka au?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom