Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Badala ya kusumbua jimboni kutatua kero na kuwaletea maendeleo wananchi , Lisu anasumbua kwa kusaliti nchi na kutetea mabeberu kwa kututishia watanzania eti tukidai haki zetu tutashitakiwa MIGA?
Jifunze kwa mbunge Sugu anavyoshinda jimboni kwake akisaidia wananchi.

Acha hizi Sifa za kijinga za mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana sasa hivi wanamlazimisha kurudi kwa kigezo cha kumnyang'anya ubunge.
Uovu wao wanaojaribu kuuficha utawekwa wazi.
 
Badala ya kusumbua jimboni kutatua kero na kuwaletea maendeleo wananchi , Lisu anasumbua kwa kusaliti nchi na kutetea mabeberu kwa kututishia watanzania eti tukidai haki zetu tutashitakiwa MIGA?

Sifa za kijinga hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mosi, kama yeye anatetea mabeberu, povu la nini si na wewe uende ukaitete hiyo nchi inayosalitia??.

Pili, wewe unatokea jimbo gani tukwambie udhaifu, mapungufu, na makosa kibao ya hilo jimbo?.

Mwisho, inamaana jimbo maskini hapa nchini ni hilo la Lissu pekee??, mengine ni 1st and 2nd world? (Developed) kama unaishi S. Masharki si UHAMIE jimbo lingine ambalo ni level ya USA na Ulaya?.

HOJA YA KIPUMBAFU SANA KUSEMA JIMBO wakati unajua bajeti ya nchi yako nzima ni 32T pekee na wajibu wa kupanga na kukusanya kodi ni wetu sisi wana NAMBARI 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ADMINI magogoni anatamani kama vipi mungu angemwadhibu kwa GONJWA kama ebola, ila sio kwa adhabu anayoipata kwa kumuokoa UHAI lissu.[emoji18] [emoji53]
 
Mosi, kama yeye anatetea mabeberu, povu la nini si na wewe uende ukaitete hiyo nchi inayosalitia??.

Pili, wewe unatokea jimbo gani tukwambie udhaifu, mapungufu, na makosa kibao ya hilo jimbo?.

Mwisho, inamaana jimbo maskini hapa nchini ni hilo la Lissu pekee??, mengine ni 1st and 2nd world? (Developed) kama unaishi S. Masharki si UHAMIE jimbo lingine ambalo ni level ya USA na Ulaya?.

HOJA YA KIPUMBAFU SANA KUSEMA JIMBO wakati unajua bajeti ya nchi yako nzima ni 32T pekee na wajibu wa kupanga na kukusanya kodi ni wetu sisi wana NAMBARI 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mbunge Sugu anasaidia wapiga kura wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na dunia inajua mbowe yuko ndani na sababu ya kumuweka ndani ni ili lisu akija akose mapokezi makubwa ambayo obviously angeyaongoza kamanda mbowe
 
Badala ya kusumbua jimboni kutatua kero na kuwaletea maendeleo wananchi , Lisu anasumbua kwa kusaliti nchi na kutetea mabeberu kwa kututishia watanzania eti tukidai haki zetu tutashitakiwa MIGA?
Jifunze kwa mbunge Sugu anavyoshinda jimboni kwake akisaidia wananchi.

Acha hizi Sifa za kijinga za mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kmbe mbunge ndiye anayeleta maendeleo kwenye Jimbo lake? Me nikajua yeye nimuaklish tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tarehe 21 kesho sio leo

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Badala ya kusumbua jimboni kutatua kero na kuwaletea maendeleo wananchi , Lisu anasumbua kwa kusaliti nchi na kutetea mabeberu kwa kututishia watanzania eti tukidai haki zetu tutashitakiwa MIGA?
Jifunze kwa mbunge Sugu anavyoshinda jimboni kwake akisaidia wananchi.

Acha hizi Sifa za kijinga za mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Lissu ndio anakusanya kodi? Si mlishasema palipo na upinzani hampeleki Fungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mosi, kama yeye anatetea mabeberu, povu la nini si na wewe uende ukaitete hiyo nchi inayosalitia??.

Pili, wewe unatokea jimbo gani tukwambie udhaifu, mapungufu, na makosa kibao ya hilo jimbo?.

Mwisho, inamaana jimbo maskini hapa nchini ni hilo la Lissu pekee??, mengine ni 1st and 2nd world? (Developed) kama unaishi S. Masharki si UHAMIE jimbo lingine ambalo ni level ya USA na Ulaya?.

HOJA YA KIPUMBAFU SANA KUSEMA JIMBO wakati unajua bajeti ya nchi yako nzima ni 32T pekee na wajibu wa kupanga na kukusanya kodi ni wetu sisi wana NAMBARI 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui anachokisema hao ni wakaa Lumumba wanasubr buku7 lakin kichwan ni 0+0+0=000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom