Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Maswali gani kayapangua? hahahaha la Ushoga? Ushahidi wa aliyetaka kumuua?Lissu kapangua maswali ya Steven Sarkur kama maji.
Uzuri wa Wazungu huwa hawacheki na kima, kama kawaida Lissu hakupewa maswali lainilaini, kapigwa maswali magumu kwelikweli kama jinsi kipindi chenyewe kinavyoitwa HARDTALK lakini mwanaume Kayapangua moja baada ya Jingine kama Lionel Messi vile!
Leo nimeamini bila shaka kuwa Lissu ni kichwa cha hatari!!