Jamaa alimbana ila akakimbilia Katiba na kipengele cha right to privacy.Naona Lissu kigugumizi mwishoni kwenye ushoga.wazungu sio watu wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachokifanya Lissu, hakifanani hata kwa asilimia 5,kwa kulinganisha na alichofanyiwa yeye. Kwa kipimo cha kufanyiwa ubaya, sidhani kama kipo zaidi ya alichofanyiwa yeye.Hivi ile convoy iliyotaka kummaliza kwa kummiminia mvua ya risasi ilishawahi kuchukuliwa hatua zozote?
Jr[emoji769]
..kuna kwarukwaru moja huko, neno moja lilimtoa jasho la meno ikabidi asaidiwe halafu likasema eeeh ndio hivyo hivyo...! Lilitia aibu ya mwaka dunia nzima!Halafu Tundu Lisu hajui English vizuri, makosa kibao.
Huyo ambaye Paskali alimpiga ka swali tu akaishia kusema Mayala kwao ni njaa ?JPM atakwenda lini?
Kwahiyo ulitaka aisifie serikali inayotuma watu kuua raia wengine, wauaji ambao unaapa serikali haitatokea iwasake!! Yaani ndo serikali ya kuisifia hiyo?!Halitotokea hilo milele yote
One of the interview making skills, do not give a chance for the interviewee to give monologues.The truth is..Lissu is being grilled here, he thinks he has a point, but he is just moving around the bush with no evidence, he tries to reject everything with no critical evidence..thats where I like the interviewer..give concrete evidence not just words like a parrot..[emoji847][emoji847][emoji847]
Kawaambie na makada wa Chama Chakavu wakahojiwe uone kama wataendaMabeberu nimeamini sio watu wazuri. Naomba Lissu apewe zaidi interview
Nimesikiliza interview mbili kwa ndugu yetu na mabeberu, aisee the agony is real. Tundu lissu alijua akienda na nyuzi za Salary Slip BBC atakuwa amemaliza mchezo akajua kwa vile beberu Steve halijui kiswahili basi kumbe jamaa ana kila data.
Beberu lina polls zote ,sio data kutoka Tanzania tu mpaka kwa watafiti wa Oxford. Lissu aliishiwa nguvu pale jamaa alipomquote Lawrence Masha.
Upinzani rudini kwanza square one mmpange vizuri TL.,haya mabeberu yatawaachia harufu tu hamna cha maana
intapelenyua??..kuna kwarukwaru moja huko, neno moja lilimtoa jasho la meno ikabidi asaidiwe halafu likasema eeeh ndio hivyo hivyo...! Lilitia aibu ya mwaka dunia nzima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano, aliichafuaje? Naomba mfano kamili.Lisu nilimwona wa hovyo tangu alipo enda huko kwa white pig na kwenda kuichafua Tanzania
Hiyo interview moja tu Serikali iliacha kazi zake zote na kuifuatilia, sasa zikiwa mia moja si ndiyo Serikali itashindwa kufanya kazi zakeMabeberu nimeamini sio watu wazuri. Naomba Lissu apewe zaidi interview
Nimesikiliza interview mbili kwa ndugu yetu na mabeberu, aisee the agony is real. Tundu lissu alijua akienda na nyuzi za Salary Slip BBC atakuwa amemaliza mchezo akajua kwa vile beberu Steve halijui kiswahili basi kumbe jamaa ana kila data.
Beberu lina polls zote ,sio data kutoka Tanzania tu mpaka kwa watafiti wa Oxford. Lissu aliishiwa nguvu pale jamaa alipomquote Lawrence Masha.
Upinzani rudini kwanza square one mmpange vizuri TL.,haya mabeberu yatawaachia harufu tu hamna cha maana
Acha mihemuko. Hilo lilishapita maisha lazima yaendelee.Wewe hapa unaongea hivi hata mate hujatemewa, vipi kama ungenyeshewa risasi sijui ungeandikaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe kafanikiwa kupandikiza CHUKI KALIIIII, siamini kama Lumumba mmekuwa na roho ngumu kiasi hiki.Anasema serikali ilitaka kumuua na akirudi anataka serikali hiyo hiyo impe ulinzi, yaani lis pimb kweli, mzungu anamuona lis liongo kabisa, hasa pale alipomuambia wewe ka mwanasheria unafahamu kabisa huwezi toa tuhuma bila ushahidi ila lis likaendelea kutoa allegations kwa serikali, in short lis kichwani hana kitu
Kama una hasira ZAA itakuwa uchungu umekaribia na yeye kwa nini JIWE anawafunga wapinzaniHapa ninahasira sana
Lissu na wapambe wako nakuuliza ni faida gani umeipata kuichafua Tanzania hii na kumchafua Rais Magufuli?
Kweli umeshindwa kuelezea hata jema moja alilofanya huyu Rais?kweli tunamponda magufuli lakini sio huko mnakoenda huo sii utamaduni wetu watanzania.
Wanataka kumpa jimbo hapo Westminster' !?Hizi habari ndizo zinazowafanya watu wa Magogoni vitanda visilalike!
😀😀😀😀