Mmiliki wa shamba anaishi wapi? Hiyo private number inapatikana wapi?Shamba Ekari 18 (Ekari13 zimelimwa msimu huu na kupandwa Halizeti na Mahindi.(.Ekari8 kati ya hizo zimefanyiwa palizi tayari na mazao ni mazuri saaana(Mahindi yanakaribia kutoa mbelewele...
Huyu mtu amefikwa na masaibu na anataka mtu wa kununua pamoja na mazao yake yeye arudi zake kijijini maisha ya mjini yamemshinda...Kwa mwenye nia ya kununua tafadhali atume ujumbe )In private na namba yake atapigiwa simu).. Mtu huyu anashida hivyo anahitaji mtu aliyetayari na mwenye nia ya kweli....
Shamba lipo KM35 kutoka bagamoyo ukifuata njia mpya ya BAGAMOYO MSATA Katika kijiji cha MASUGURU(Na lipo Km1.5 tu kuto barara mpya hiyo ya BAGAMOYO MSATA..Kama wewe ni mkaazi wa Dar Es Salaam litakufaa sana.. Mwezi wa sita tu unaanza kufaidi mahindi yaliyostawi vizuri sana.. Mwenye nia atapelekwa kulikagua na kufanya maamuzi.. Ahsante..!..
Labda sijafahamika vizuri( Ujue hili jukwaa kila mtu na akili yake na anavyojisikia mwenyewe kukujibu au ku-react) Hivyo ndio maana nikaomba aliye tayari atume ujumbe kutumia INBOX ya Jamii forums humu humu..alafu atapata majibu yoyote anayoyataka) Ahsante!!
Tumekuelewa ila nadhani weka hata bei ya kuanzia ili watu wapime uwezo wao Je anakubali kuuza nusu nusu?
Mkuu mnauza zote kwa ujumla ama hata kwa heka chache pia mnauza?
mkuu mimi nahitaji hicho cha madale
Sawa mkuu,ungeweka na picha kabisa tuone.
sawa mkuuJumapili ndio naenda huko.. Nahakika nitappiga picha sasa(Maana sikuwahi kuwa na wazo la kuweka picha)
Usihofu..Kuanzia J3 utaona picha za viwanja hivyo.
Barikiwa!
Jana nilitingwa na shughuli za Ukawa Kurejesha Form sikuweza Kuweka picha kama nilivyo kuahidi.sawa mkuu
Sawa mkuu,nitakucheck.Jana nilitingwa na shughuli za Ukawa Kurejesha Form sikuweza Kuweka picha kama nilivyo kuahidi.
Weekend nilienda na watu wa kutosha niliowapata hapa hapa Jamvini(Naamini wapo na wata
Ila Kaiti ya viwanja 40 Nilivyokuwa navyo vimeondoka 14 tayari kwa mara moja tu..Ya Jpili..
sasa Sijui Jpili ijayo kama kitabaki kitu.. Maana tayari nimeishapata appointments za kutosha).
Madale Vimebaki 10TU! na Bunju Mpakani Vimebaki 16TU!!
KARIBUNI.>!
Jana nilitingwa na shughuli za Ukawa Kurejesha Form sikuweza Kuweka picha kama nilivyo kuahidi.
Weekend nilienda na watu wa kutosha niliowapata hapa hapa Jamvini(Naamini wapo na watakupa feedback..Mimi siwezi kuwasemea)..