Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

mbaba nahis cjachelewa nitaunga msafara hiyo cku ya jpili but b4 i will call you
za leo ndugu..

Kama bado hupo interested na vuwanja sema.. Kesho ninaenda huko..

Ningependa kujua muda wako ili nipange namna..

Wapo watu wengine pia.
 
Dear Members wa hapa Jamvini. Binafsi nilifanikiwa kwenda kuchek viwanja hivyo (Madale na Bunju Mpakani). Tha place is good and flat and watu wanajenga. Mimi nilifanikiwa kupata sehemu ya hiyo ardhi upande wa madale. The place has been surveyed for residential purpose, so ipo clear and hapana utapeli as nimehakikisha mpk ardhi.

Karibuni bandugu kwa ujirani mwema. Binafi ninayo mpk ramani ya sehemu husika- madale.
 
Nashukuru Ndugu yangu kwa Promo...Naamini utapata majirani wazuri tu.. Week hii kuna majirani nitakuletea..NOTE:Kumbuka hata mimi nitakuwa Jirani yako kwa kipembeni pale..Lol!!
 
Nilitangaza Viwanja kama mwezi na nusu uliopita.. Nashukuru Mwitikio wenu wana JF unaridhisha sana.
Ila bado Viwanja Vipo hujachelewa sana.

Tulikuwa na Plot40 Bunju sasa Zime Baki plot 12 tu..Ni ukivuka tu daraja linalotenganisha Bunju Na Bagamoyo mkono wa kushoto..Kuna kiliometa 3.3 kutoka barabara ya Bagamoyo-Dar*Ila barabara ni nzuri mpaka kwenye plots.

Sehemu inaendelezwa kwa kasi umeme umeishavutwa unakaribia kufika kwenye plot na mradi unaendelea.. BEI ni Milion 4 ukubwa wa kiwanja ni 20X20M Japo ukibahatika unaweza kuunganisha vi2 au v3 ili kupata eneo kubwa kulingana na mahitaji yako{ Hakuna udalali}.Watu wengi tulio wauzia wameisha anza kuviendeleza..Baadhi wametoa Comments zao hapa hapa JF.

Kwa Madale Vipo Vya ukubwa ule ule 20X20M ni Jirani na kwa kawawa.BEI ni Milion6, Ukitokea Wazo Hill unapita center maarufu kama FILAMINGO...Kutokea hapo ni kama mita2.5 Viwanja vipo tambarale na vipo kwa mtindo wa plot kama vya BUNJU.. hapa napo watu wanamalizia kati ya viwanja 32 vimebaki 10 tu..

Tuwasiliane kwa anayehitaji +255 762 466 293

NOTE.. Viwanja hivi ni vya uhakika na unaweza kujiridhisha kwa namna yoyote unayotaka kabla ya kuingia mkataba na sisi. INGAWA Viwanja hivi havijapimwa rasmi..Lakini maeneo yapo surveyed na yamepitishwa kuwa makazi ya watu.. Sisi tuliyanunua kama mashamba wakati huo kabla maeneo haya haja anza kuendelea.
 
Karibu Ndio Tunamalizia plot zetu tulizotangaza miezi3 iliyopita..!

Tulikuwa na plot 90.. 20X20M.. Bunju Darajani na Madale Kwa Kawawa.
Bunju Milion 4 .... Madale Milioni6

Watu walionunua wameanza kunyanyua vitu vya hatari.. Watembelee site na wakueleze wenyewe....Kisha fanya maamuzi..!

Sasa tumebaki na kama 20 Hivi.... Kazi ni Kwako.

Kwa wanaohitaji tu! 0762 466 293
 
Wadau wa JF ambao tumekutana kupitia humu JF.. Nikawauzia Viwanja na sasa wanajenga..

Naomba mje hapa mtoe testimony yenu Juu ya Ubora wa Viwanja na Uhakika wa Viwanja vyenyewe* Si Magumashi* Ili Mpate majirani wema...!

KARIBU.!
 
Wapendwa

Naingia Mara chache humu kwasababu ya majukumu...Nilitoa namba zangu kwa makusudi ili "serious buyers" wanipigie.

Vinja vya Bunju vimeisha... bado viwanja vichache madale kwa kawawa

Vilivyo jirani na barabara inayopita kwa kawawa;Milion8 na vilivyo kilometer2 mbele toka kwa kawawa milion7

Ikumbukwe, ardhi inapanda kila kukicha..Walio wahi walipata kwa bei nafuu kidogo

Karibu.. nipigie 0762 466 293
 
muhusika kapotelea wap sijui

hvyo vya madale bado vipo mkuu??

Similar Discussions

Back
Top Bottom