Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

Kwa Matias ova"

I'm much available on WhatsApp and direct call( kwa yeyote ambaye yupo interested ana anataka kujibiwa haraka

Anitafute kwa simu " +255784355775)

Humu kuna wakati nakuwa busy...napitia usiku nikiwa nyumbani"

NATANGULIZA SHUKRANI!
Pia Kama unaelekea scout..
Nyakasangwe ipi Hapo karibu na nini

Kuelekea scout au kurudi kama unaelekea kwa martias

Ova
Kwa usahihi kabisa " Ukifika shule ya Nyakasangwe unaenda na barabara inayoingia kushoto(Kama umetokea Madale-flamingo ,hata kabla ya Msigani- center hata kabla ya kwa Matias..
 
Wapendwa Wana jamvi. KARIBU tuijenge TANZANIA pamoja.

Tuna plot mpya ya viwanja maeneo mazuri ya KEREGE- CCM) bagamoyo.

Kwa wanao ifahamu Kerege-ccm Kuna barabara ya "Nyakahamba inayotokea hapo Kerege kuelekea mpaka kibaha"

Ni kilometa moja Na nusu(1.5KM) kutoka Kerege CCM..barabara imechongwa kiwango cha changarawe.

Viwanja/plots vipo barabarani kama mnavyoona kwenye picha( eneo ni tambarare Na limetulia kabisa.

BEI NI MILLION TANO TU, KWA 20X20 = 400sqm ( ukitaka eneo kubwa unaweza kuunganisha viwanja (tuna heka4 za plots.

Eneo ni potential Sana (Maji na umeme vyote vipo).

Tuwasiliane Kwa namba HII 0784355775- Mr Mbungi

Utapelekwa kuona viwanja siku yoyote a

KARIBU.
Bado tuna viwanja na mashamba maeneo ya Kerege Bagamoyo.

Wasiliana nasi;
Mbungi - +255784355775
Thabit -+255 713 298 350
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom