Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

Wapendwa

Naingia Mara chache humu kwasababu ya majukumu...Nilitoa namba zangu kwa makusudi ili "serious buyers" wanipigie.

Vinja vya Bunju vimeisha... bado viwanja vichache madale kwa kawawa

Vilivyo jirani na barabara inayopita kwa kawawa;Milion8 na vilivyo kilometer2 mbele toka kwa kawawa milion7

Ikumbukwe, ardhi inapanda kila kukicha..Walio wahi walipata kwa bei nafuu kidogo

Karibu.. nipigie 0762 466 293
 
naomba kujua bunju darajani ni wapi,,,hiyo beo fixed au negociation

Kimsingi ni Mapinga(Yaani ukivuka daraja linalotenganisha Dar Es Salaam na Bagamoyo

Kwa mwenye kuhitaji anipigie simu ndio tunaweza discuss chochote..Ikimaanisha kuwa yupo serious na anataka kiwanja kweli).. +255 762 466 293 NA +255 784 355 775
 
Bado viwanja vipo???
Sorry Wapendwa Mambo n i Mengi huku nakuja mara moja moja Kwa kulitambua hilo niliwekaga namba zangu za simu kwa wenye kuhitaji.. +255 762 466 293 NA +255 784 355 775
 
Karibu wapendwa, wanao tafuta makaazi.

Tulianza kuuza viwanja hivi tangu mwaka jana(Tulikuwa na Plot zaidi ya 120, katika maeneo 2 tofauti( Bunju mpakani-Ukivuka tu daraja la Mingoi, upande wa kulshoto kama unaenda Bagamoyo, mtaa unaitwa kimere, unatizamana na Bunju B ukitenganishwa na hilo Bonde la mto Mingoi.

Kwasasa ndio tunamalizia, Kimere vimebaki viwanja soi zaidi ya 4, 2vikiwa ni 24X40 (milioni8) na 20X20M (milioni4)

Kwa Plot ya Madale(Hapa ni madale kwa Kawawa, ukipita kidogo tu.. Hapa tunavyo kama 15 vilivyosalia kati ya 70 tulivyokuwa navyo.) Hapa tunavyo vya milioni6,7, na 8 (Kuanzia 15X20, 20X20, na 25X20)

NOTE: Wapo watu wengi tulio wauzia na wapo hapa hapa JF, wakiuona uzi huu watakusaidia wewe unayetaka kununua kujua habari zetu na uhakika wa viwanja vyetu.

Kukumbusha, viwanja vyetu vimegawanywa kisayansi(Kila mtu anaingia na kutoka kwakwe kwa gari lake kama analo(Maana kuna barabara za moja kwa moja zinazoteganisha plot hizi)..PIA MAENEO HAYA YAMERASIMISHWA NA ARDHI KAMA MAKAAZI NA RECORD ZIPO ARDHI..Utapata Fursa ya Kujiridhisha kuhusu hili.

KARIBU UJIONEE NA UFANYE MAAMUZI SAHIHI.( wasiliana na mimi +255 762 466 293 MR MBUNGI)
 
(WADAU WALIO OMBA PICHA HIZO HAPO!!)

Kwa mara nyingine, tunabadilisha matumizi ya mashamba kuwa plot za kujenga.

tulikuwa na shamba bunju Mingoi, Madale kwa kawawa..Na sasa tumeamua kutoa hivi viwanja "Potential area""

Kwa wanao fahamu Madale hapa ni barabarani kabisa, ukitokea center ya filamingo barabara inayotoka Wazo Hill" maarufu kama Njia panda ya Nguzo, nyuma ya Kituo Kipya cha Police (Mita kama mia3 tu!

Tunavyo viwanja vya 23 X 24,) ( 22 X 23,) (21 X 22. NK.( Bei ni kuanzia milioni 13 mpaka 11M kulingana na ukubwa wa kiwanja na uelekeo kilichopo.

Unashauriwa kutembelea maeneo haya kabla ya kujadili bei(Maana unaweza ukakuta tunavitoa kwa bei ya chini kabisa isiyohitaji punguzo..( Experience ina nionyesha hivyo..Kuna mtu juzi aliniambia kwanini unaviuza bei ya kutupa)

Kwa wanaohitaji, tuwasiliane kwa +255 762 466 293 & +255 784 355 775 - Mr MBUNGI
 
Attachments

  • IMG-20161012-WA0010.jpg
    IMG-20161012-WA0010.jpg
    90.8 KB · Views: 79
  • IMG-20161012-WA0009.jpg
    IMG-20161012-WA0009.jpg
    79.7 KB · Views: 61
  • IMG-20161012-WA0010.jpg
    IMG-20161012-WA0010.jpg
    90.8 KB · Views: 60
  • IMG-20161012-WA0008.jpg
    IMG-20161012-WA0008.jpg
    205.5 KB · Views: 75
Kwa mara nyingine, tunabadilisha matumizi ya mashamba kuwa plot za kujenga.

tulikuwa na shamba bunju Mingoi, Madale kwa kawawa..Na sasa tumeamua kutoa hivi viwanja "Potential area""

Kwa wanao fahamu Madale hapa ni barabarani kabisa, ukitokea center ya filamingo barabara inayotoka Wazo Hill" maarufu kama Njia panda ya Nguzo, nyuma ya Kituo Kipya cha Police (Mita kama mia3 tu!

Tunavyo viwanja vya 23 X 24,) ( 22 X 23,) (21 X 22. NK.( Bei ni kuanzia milioni 13 mpaka 11M kulingana na ukubwa wa kiwanja na uelekeo kilichopo.

Unashauriwa kutembelea maeneo haya kabla ya kujadili bei(Maana unaweza ukakuta tunavitoa kwa bei ya chini kabisa isiyohitaji punguzo..( Experience ina nionyesha hivyo..Kuna mtu juzi aliniambia kwanini unaviuza bei ya kutupa)

Kwa wanaohitaji, tuwasiliane kwa +255 762 466 293 & +255 784 355 775 - Mr MBUNGI
23mita x 24mita = 552Sqm
Tshs 13,000,000/552Sqm
= Tshs 23,550/Sqm

Mkuu hivi viwanja ni surveyed au??
 
23mita x 24mita = 552Sqm
Tshs 13,000,000/552Sqm
= Tshs 23,550/Sqm

Mkuu hivi viwanja ni surveyed au??
Eneo lipo surveyed limepitishwa kwa ajili ya makaazi,michoro ipo Ardhi).Tutakusaidia kujiridhisha juu ya uhalali wa Vinja hivi..Tupo so cooperative linapokuja suala la kisheria. Ahsante!
 
23mita x 24mita = 552Sqm
Tshs 13,000,000/552Sqm
= Tshs 23,550/Sqm

Mkuu hivi viwanja ni surveyed au??
Eneo lipo surveyed limepitishwa kwa ajili ya makaazi,michoro ipo Ardhi).Tutakusaidia kujiridhisha juu ya uhalali wa Viwanja hivi..Tupo so cooperative linapokuja suala la kisheria. Ahsante!
 
Kwa mara nyingine, tunabadilisha matumizi ya mashamba kuwa plot za kujenga.

tulikuwa na shamba bunju Mingoi, Madale kwa kawawa..Na sasa tumeamua kutoa hivi viwanja "Potential area""

Kwa wanao fahamu Madale hapa ni barabarani kabisa, ukitokea center ya filamingo barabara inayotoka Wazo Hill" maarufu kama Njia panda ya Nguzo, nyuma ya Kituo Kipya cha Police (Mita kama mia3 tu!

Tunavyo viwanja vya 23 X 24,) ( 22 X 23,) (21 X 22. NK.( Bei ni kuanzia milioni 13 mpaka 11M kulingana na ukubwa wa kiwanja na uelekeo kilichopo.

Unashauriwa kutembelea maeneo haya kabla ya kujadili bei(Maana unaweza ukakuta tunavitoa kwa bei ya chini kabisa isiyohitaji punguzo..( Experience ina nionyesha hivyo..Kuna mtu juzi aliniambia kwanini unaviuza bei ya kutupa)

Kwa wanaohitaji, tuwasiliane kwa +255 762 466 293 & +255 784 355 775 - Mr MBUNGI
Mkuu weka picha ya hilo eneo itasaidia kuvutia wateja.
 
Eneo lipo surveyed limepitishwa kwa ajili ya makaazi,michoro ipo Ardhi).Tutakusaidia kujiridhisha juu ya uhalali wa Vinja hivi..Tupo so cooperative linapokuja suala la kisheria. Ahsante!
Eneo lipo surveyed au hivyo viwanja mnavyouza vipo surveyed? Hebu dadavua kabla hatujafunga safari kuja kuviona maana usawa huu 13M si pesa haba!
 
vp naweza pata uwanja bajet yangu ni 5ml
Ninacho kimoja kimebaki Huko Plot nilizokuwa nazo Mingoi/Opposite na Bunju Mwisho ukitenganishwa na daraja la Mingoi upande wa Bmoyo..20 X20( Nilikuwa navyo 87 vyote vimechukuliwa na watu wanajenga..Hivyo una majirani na pamechangamka sana..Umeme hupo na maji yapo..Ni 2KM kutoka barabara ya Bagamoyo/Dar mkono wa kushoto(Maarufu kama mtaa wa kimele).. Njia kuu ya umeme na barabara mpaka kwenye site.. KARIBU!!
vp naweza pata uwanja bajet yangu ni 5ml
 
Karibu wadau,

Hii ni site Plot Mpya baada ya Kumalizia Bunju mwisho/Mingoi.

Tuna VIWANJA vya ukubwa mbali mbali 20X 20, 21 X 28 , 24 X 30 NK

Kama kawaida hivi si viwanja vya udalali..Unanunua Kwetu wamiliki(Kwa ambao wameisha nunua na walipata viwanja hivyo kupitia JF yetu, watakueleza Mimi ni nani) Kwa wewe mgeni Kwangu "Naitwa Mr Mbungi(really name ninayotumia hapa JF)

Kwa wanaohitaji tuwasiliane +255 762 466 293. & (255 784 355 775)

Note: Njia panda ya Nguzo nyuma ya Kituo kidogo cha Police..Ni sehemu potential sana..Nilikuwa na viwanja zaidi ya 40. Ndani ya mwezi na nusu Vimebaki 10 tu!

Kwa kawawa nako si Vingi ila bado vipo..
KARIBU TUIJENGE NCHI YETU.

IMG_20170104_142637.jpg

IMG_20170104_142627.jpg
 
Cha 7m kina ukubwa gani?
Ni 20X20M mkuu hapa ni Madale kwa kawawa watangulizi wako wameisha hamia hivyo hutakuwa mpweke(una majirani zaidi ya 40 kwenye plot yetu na wengi wanakaribia kuhamia) hiyo 7M haina dadali(pengine tinge anzia juu.(bado window ya majadiliano ipo japo nikidogo sana)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom