Tumpe Rais Kikwete heshima yake

Tumpe Rais Kikwete heshima yake

POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??

Sidhani kuwa kumtaja mtu kwa kabila lake ni kosa. Katika jamii zetu makabila mbalimbali yana tamaduni aa kutaniana na makabila mengine kiasi kuwa tamaduni hizo zimepanda hadi kufikia kiwango cha kuhusisha taifa zima. Utasikia mtu anajulikana kwa majina kama NSHOMILE, MNYALU, au watembeza biadhaa mitaani wote wamepachikwa jina la MACHINGA ambalo ni jina la utani la kabila fulani huko kusini.

Matumizi ya majina ya utani kwa viongozi wetu ama kutokana na haiba zao au makabila yao ni mambo ya siku nyingi sana nchini kwetu. Nyerere alijulikana kama Mchonga (kutokana na meno yake kuwa yamechongeka kwa tamaduni za wazanaki) na Sokoine alijulikana moja kwa moja kama MMASAI kutokana na kabila lake. Miaka ya karibuni tumesikia Mkapa akiitwa MACHINGA kutokana na kabila lake. Sioni ajabu kabisa kwa Kikwete kuitwa mkwere labda kama hataki kabila lake lijulikane, au mwenendo wake haukubaliwi na kabila zima la wakwere kiasi kuwa hawataki kuhusishwa naye tena.
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??

Hoja nzuri tupinge mtu na chama chake kutokana na matendo yake au imani yao na si kabila, rangi, wala dini.
 
Hapana sio Sahihi mpwa wangu, sahihi ni kumuita Mkwele sio mkwere
 
Tatizo lipo.
Mfano: Kama unasema "mkwere" nchi imemshinda, baada ya miaka kadhaa akijitokeza Imani Madega (huyu pia ni mkwere) anagomea Urais, mtu akasema mkwere mwingine anagombea Urais. Moja kwa moja itaathiri image ya Imani Madega kwa jamii.
Swala hili siyo sahihi na ni vyema likaachwa hapa JF.
 
Mimi nadhani wakati huo huo yeye mwenyewe Kikwete atashauriwa vizuri kuacha kujiita kihivyo mbele za watu kwani kama yeye mwenyewe akijiita hivyo watu wengine wana uhalali wa kuita hivyohivyo kimatani.. kwani mmesahau ule mfano wa Mbayuwayu ulianza vipi? ...
 
Tatizo kubwa ni elimu kwa wananchi na uadilifu na elimu kwa viongozi...period!!!
 
Aha,yani this time ni balaa tunakoenda!
Tanzania ya sasa ina tupandikiza udini,kiasi kwamba sikuwa hivi lakini sasa kila jambo linalotokea naangalia alieye lifanya ni mtu wa dini gani?
Hii ni kwa sababu ya kuhubiri udini.

Leo tena umeanza ukabira,honestly neno mkwere nimekuwa naliona ila sikuwahi kujua ni nini,kumbe ni kabila?
Sasa inanilazimu kutafuta kila raisi aliyepita ni kabila gani?
Tuna fanya kama mchezo hivi,lakini naamini mimi nawakilisha wengi sana,ambao walikuwa hawaangalii mambo kwa misingi ya udini na ukabila,ila kwa kuwa una hubiriwa sana tunalazimika kuanza kutazama / kutafuta kujua mtu fulanialiye pata kitu fulani ni mtu wa kabila gani na dini gani.

Madhara yake hayata onekana leo wala kesho, ila yanakuja na ni makubwa sana,....endeleeni na mahubiri yenu ya kubomoa

Speaker,

Hivi unapafahamu pale Kibaha kwa MFIPA????
 
sio tatizo rais kuitwa mwekre... nakumbuka zero, mchonga, muso, ruksa, nk.
 
Hata Nyerere tulizoea kumwita Mzanaki wengine walimwita Mchonga Meno. Sasa kuna tatizo gani kumwita jk mkwere!!! Acheni kujishuku.
 
Nadhani anaweza kukasirika zaidi Ridhiwani kusikia jina hilo, siyo wewe. Lakini nikueleze tu katika jamii ukiwa kiongozi ahata baba wa familia ama mama wa familia kulingana na matendo yako unaweza kupewa jina ambalo watoto wako wanaweza kukuita bila ya wewe kujua. Jina hili linaweza kutokana na tabia yako ya ulevi ama umalaya n.k. angalia katika ofisi fulani mabosi pia wamekuwa wakipachikwa majina kadha wa kadha sembuse MKWERE, fuatilia kwa watoto wako utakuwa umepewa jina na nadhani watakuwa wamekupachika jina la Unonko kulingana na jinsi ulivyoweka Post yako humu.

1. Nyerere= Mchonga, Mussa, Nyag'au
2. Mwinyi = Shemeji, Ruksa
3. Mkapa = Mr Clean, Shot
4. Kikwete= Msanii, mkwere, Boys II men

Mengine mnaweza kuongezea hapa......

Inawezekana hata kwa Slaa= ikawa hivyo
Slaa-padre
Na hawa je;
Makamba=?
Mbowe=?
Msekwa=?
 
awe mkwere, awe mkware au mkunguru yote ni sawa tu, kwasababu ni mtz, sisi tz hatuna ukabila, sisi ni dugu moja bana.
 
Wewe hujajua kitu kimoja, ukiwa madarakani lazima utapewa nick name, uwe mzuri ama mbaya lazima. mwalimu Nyerere walimwita Musa, mchonga n.k mwinyi walimwita mzee
ruksa, Mkapa walimwita................ Hivyo sio issue ya maana kujadili nick name ya mtu hii ipo mahali pote na wala sio kashfa.
 
POLENI WANA JF na smahani kama nitawakwaza wengine.
Nimekuwa nasoma post mbalimbali humu hasa zile za siasa hususani kuanzia mchakato,uchaguzi hadi matokoe yake.
Kifupi nimegundua member wengi wanaishabikia CHADEMA kama ambayo hata mimi naishabikia,naipenda na kuiamini.
Kutokana na kufuatilia post baadhi nikagundua wengi wanaochangia wana ukabila kwa kigezo kimoja. Kwamba baada ya mchakato mbovu uliomwingiza Kikwete madarakani na kwakua Kikwete alikuwepo madarakani na alikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya mabadiliko lakini hakufanya kwa manufaa yake na chama chake,WATU wanamshambulia kama MKWERE*kabila* badala ya kama Kikwete au Rais aliyeshindwa kuleta matumaini aliyo ahidi 2005.
Wakati mimi naamini Kikwete ndiye anaeneza hofu ya UDINI,members wengi hapa wanaeneza UKABILA kwa hilo nililotaja hapo juu.
Members tujenge hoja za kutomtambua Kikwete kama rais bila kuhusisha kabila lake wala dini yake.
Hivi siku Wakwere wakisema mnalisema vibaya kabila lao kwa sababu ya Kikwete nao wakaanza Kulisema vibaya kabila la DR: SLAA au LIPUMBA,tutaweza kuvumilia na je ustawi wa nchi utakuwa wapi??

Ni mtani wetu bana hamna haja ya kudhani tunamsema vibaya hata Lipumba kwenye mdahalo alimwita Mkwere!
 
Lakini pia ukweli ni Mkwere kwa hiyo hakuna kashifa kwani ukiitwa kwa kabila lako ni tatizo???
 
Back
Top Bottom