Tumpe Rais Kikwete heshima yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumpe Rais Kikwete heshima yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ami, May 10, 2010.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mnamo Mei 9 mwaka huu 2010 mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Wasso huko Ngorongoro alimtaka raisi Jakaya Mrisho Kikwete ajiuzulu na kuondoka Ikulu mara moja. Kisa kushindwa kuwalipa wafanyakazi kiwango cha chini cha sh.315,000!

  Kila siku za uchaguzi zinavyokaribia yaonesha watanzania wanazidi kukosa heshima kwa raisi wao. Kumfukuza rais aliyechaguliwa namna hii pia ni kuwakosea heshima mamilioni ya watanzania waliomchagua.

  Sababu za kushindwa kuwalipa wafanyakazi kima cha chini Kikwete alizieleza na nyinyi mwawajua wanaofilisi uchumi wa nchi, mbona makucha yenu hamjayakunjua kiasi hicho kwao.

  Rais wetu akicheka mwanuna na akinuna kwenu ni nongwa. Nyinyii!
   
 2. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  JK alianza kujitukana mwenyewe aliposhindwa kutimiza ahadi zake.
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kati ya watazania (ikiwa ni pamoja na Mbowe) na Mheshimiwa Rais nani kawaksoea wenzake heshima? Na kwa maoni yako hayo Mbowe hana haki ya kutamka maneno kama hayo? Na je unajua maana ya siasa za ushindani? Au ullitegemea na Mbowe ampigie JK makofi na na kumwimibia kama wazee wa Dar?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kwanini usiseme kuwa yeye Rais kawakosea heshima Watanzania kwa namna alivyozungumza na watoa jasho laujenzi wa nchi hii na kuwabwatukia kama watoto wadogo? Au mmesahau hekima ya wazee kuwa "heshimu nawe utaheshimiwa". Heshima haitolewa kama zawadi..
   
 5. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali ndiyo inatakiwa kuwachukulia hatua watu mafisadi wanaotafuna pesa za umma hadi serikali kupelekea kushindwa kulipa hicho kima cha chini.Raisi mwenyewe kakili kwamba 30% ya bajeti ya mwaka inaishia mikononi mwa wajanja ambao ni senior public officers.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kumkosea heshima rais kwa kumwambia ajiuzulu?..Bwa ha ha ha..hizi sio zama za mawe wajameni.
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Precisely! Bwana Masoud lazime uelewe kwamba kwenye zama hizi za demokrasia viongozi wa kisiasa wanayo haki ya kutoa misimamo yao dhidi ya kile wanachodhani kwamba ni mapungufu ywa serikali iliyopo madarakani , kama kwa kufanya hivyo watakuwa wanaendeleza ajenda yao ya kukubalika mbele ya wapiga kura wao. la msingi ni kwamba uhuru huo uheshimu mipaka ambayo nina hakika kwa hili Mh. Mbowe hajaivuka.
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Naomba tumsamehe huyu jamaa. Inaonekana bado anaishi enzi za "Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa ....."!!! Hivi kama ingewezekana, wana CCM wenyewe wangeweza kusema hivyo sasa hivi? Kwani hata fikra zenyewe sizioni, ukiachia mbali hilo suala la usahihi.
   
 9. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mzee mwanakijiji inaonesha unataka kisa/mkasa na rais.

  Kumbuka heshima kwa tamaduni zetu, kwamba wazee wetu hata vibabu dhaifu wakitufokea au hata wakitupiga huwa hatuwarudishii kwa kuheshimu ukubwa wao ilhali uwezo huo tunao. Huwa tunatafuta njia nzuri za heshima kukaa nao.

  Jengine ikiwa ndio siasa,mbona kwa Kikwete zaidi!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Watu wenye FIKRA DUNI kaa wewe ndio haswa signature ya waTz wanaoichagua CCM na kumaintain status quo na vurugumechi zinazoambatana nazo. Mkuu go and buy a CLUE.
   
 11. J

  Jafar JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe Masoud umepitwa na wakati, hivi unaishi Tanzania gani wewe? Kumwambia JK ajiuzuru ni kukosa heshima? Hayo ni mambo ya siasa. Tatizo lenu CCM mnapenda sana hata hamuoni makosa ya JK. Ahadi kibao hajatimiza, watu wakidai anakasirika na kusema atawapelekea FFU. Hayo ndiyo watu walimchagulia?
   
 12. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo anaji kwepa mwenyewe kwa kuwataja senior public officers....The source aionyeshe..! Analeta ujanja ujanja wa maneno ili aonekane yeye ni mwema sana.!!
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Watumishi wa CHADEMA, BILLICANAS wanalipwaje?
   
 14. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa mtoa mada mimi cjamuelewa kabisa anamaanissha nini, kwani Kikwete si alikuja na sera ya maisha bora kwa kila mtanzania? sasa alifikiri watanzania wa zama hizi ni wale wa 60s, watu wanadai walichaahidiwa mpaka jamaa akachaguliwa, sasa iweje mtu uahidi halafu ukatae kutoa ulichoahidi?? next time anapofanya kampeni aangalie kauli mbiu yake ya kampeni zake na sio kukurupuka tu.
   
 15. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bilicanas inahusika vipi na Kikwete kushindwa kufanya kazi? bro be proactive to what is on the table, hapa maada ni kikwete's failure to provide good and better life to Tanzanians na si Bilicanas-------
   
 16. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Siipingi hoja yako, unao uhuru wa kujieleza. I strongly feel that you should intelligently demonstrate that what you are saying is valid and true. Ulivyoileta ni kama hoja ya kijiweni, hakuna facts. Kwa maana hiyo hapa utazomewa tu na wana haki hiyo. Pole sana.
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tulinganishe maneno yetu na vitendo vyetu.
   
 18. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu nae ni Great thinker, Hii sio Dating site mkuu. Zungumzia hoja ya Kuvunjiwa heshima kwa Rais, Mambo ya Billicanas yanatoka wapi hapa.
   
 19. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #19
  May 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  acha kushabikia upuuzi alichokuwa anakiongea MBOWE ni ukweli mtu kitenda cha rais kukejeli madai ya wafanyakazi na kutoa vitisho unaona kafanya sawa? ulikuwa unata MBOWE akaseme amefanya vizuri kuwa kifikra kabla ya kuongea hoja humu, waliyomo humu wananakili timamu na wanataka mabadiliko ya kweli so usidanganye watu
   
 20. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Masoud hivi haya unayoongea yametoka mdomoni kwako? na akilini kwako? lakini bado naheshimu japo sikubaliani na ulichoongea.
   
Loading...